iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Familia ya mwanasayansi bingwa na mwenye kipawa cha juu katika masuala ya nyuklia na ulinzi wa Iran shahidi Mohsen Fakhrizadeh jana ilimtembelea Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
Habari ID: 3473591    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/26

TEHRAN (IQNA)- Mjumbe wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina nchini Iran Nasser Abu Shariff ametembelea ofisi za Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA) hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3473579    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/21

TEHRAN (IQNA) – Semi fainali ya kusoma Qur'ani Tukufu au qiraa katika Awamu ya 37 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran imemalizika leo Jumatano.
Habari ID: 3473576    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/20

TEHRAN (IQNA) – Nusu fainali ya Awamu ya 37 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran imeanza Jumanne asubuhi mjini Tehran.
Habari ID: 3473572    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/19

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Jeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq maarufu kama Al-Hashdu-Sha'abi au PMU amesisitiza ulazima wa kutekelezwa agizo la bunge la nchi hiyo la kutaka askari wa jeshi la Marekani waondoke nchini humo.
Habari ID: 3473569    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/18

TEHRAN (IQNA)- Nusu fainali ya Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran inaanza Jumanne Januari 19.
Habari ID: 3473568    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/18

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya amesema kufedheheka na kuaibika utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani katika siku zake za mwisho ni ishara kuwa, ubaguzi wa rangi na ukiukwaji sheria na mambo ambayo hayana mwisho mwema.
Habari ID: 3473553    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/13

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametangaza bayana kuwa, kuingizwa Iran chanjo ya corona au COVID-19 kutoka Marekani na Uingereza ni marufuku.
Habari ID: 3473535    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/08

TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amegusia namna rais wa Marekani Donald Trump alivyotoa amri ya kuuliwa kiwogawoga, Shahidi Qassem Soleimani, na kusema kuwa, shambulio hilo la anga linaonesha uchochole wa kupindukia wa Donald Trump ambaye ameshindwa kupambana na shujaa huyo katika medani ya mapambano na badala yake alimvizia kiwogawoga uraiani na kumuua.
Habari ID: 3473523    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/04

Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Shahidi Qassem Soleimani hakuwa ni mtetezi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia pekee bali aliwatetea Waislamu wote na hata wasiokuwa Waislamu wakiwemo Wakristo na alijitolea muhanga kwa ajili yao.
Habari ID: 3473521    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/03

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe maalumu wa kuomboleza kifo cha mwanachuoni mkubwa, faqihi mwanaharakati, Ayatullah Muhammad Taqi Misbah Yazdi.
Habari ID: 3473516    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/02

TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya vikali Marekani kwa kupiga ngoma ya vita na kusisitiza kuwa, taifa hili lipo tayari kujilinda.
Habari ID: 3473512    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/01

TEHRAN (IQNA) – Semina ya Nabii Isa Masih, yaani Yesu, -Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-imefanyika nchini Kenya katika fremu ya 'Mazungumzo Baina ya Dini'.
Habari ID: 3473510    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/31

TEHRAN (IQNA)- Chanjo ya corona au COVID-19 iliyotegenezwa na watafiti Wa iran i imeanza kufanyiwa majaribio kwa wanadamu siku ya Jumanne 29 Disemba ambapo watu waliojitolea wamedungwa chanjo hiyo.
Habari ID: 3473509    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/31

TEHRAN (IQNA)- Khitma ya Qur’ani Tukufu imefanyika Tehran Jumanne kwa mnasaba wa kukaribia mwaka moja tokea alipouawa shahidi kamanda wa ngazi za juu wa Iran, Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
Habari ID: 3473507    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/30

TEHRAN (IQNA)- Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelaani vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa cha Iran.
Habari ID: 3473501    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/28

TEHRAN (IQNA) – Binti Mu iran i, Hannaneh Khalafi, ambaye ametajwa kuwa bingwa wa Qur'ani, ataanza kutoa mafunzo ya kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3473495    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/26

Krismasi
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za pongezi viongozi wa dunia kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Nabii Isa Masih-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake- na kuwadia mwaka mpya wa 2021 Miladia.
Habari ID: 3473489    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/25

Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon
TEHRAN (IQNA) - Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, Shahidi Qassem Soleimani alikuwa nguvu kubwa mbele ya mipango kiistikbari ya Marekani na ndio maana ameuliwa kigaidi na adui.
Habari ID: 3473480    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/22

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wauaji wa shahidi Luteni Jenerali Qassim Soleimani lazima walipiziwe kisasi na kisasi hiki hakina shaka na kitatekelezwa wakati wowote.
Habari ID: 3473463    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/16