yemen

IQNA

IQNA – Sherehe imefanyika katika mji mkuu wa Yemen, Sana’a, siku ya Jumatatu, kuwaenzi na kuwatunuku zawadi wanafunzi waliohifadhi Qur’an Tukufu.
Habari ID: 3482259    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/19

IQNA – Kiongozi wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Ansarullah ya Yemen, Sayyid Abdul-Malik al-Houthi, ameeleza kuwa vitendo vya kuivunjia heshima Qur’an Tukufu ni sehemu ya njama za kutekeleza mpango wa Kizayuni dhidi ya Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3482258    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/19

IQNA – Katika nyumba ya kawaida na tulivu katika moja ya mitaa ya Sana’a, mji mkuu wa Yemen, ilianza safari ya Bilal Mahdi Al-Sharaabi, kijana wa Yemen ambaye sasa ana umri wa miaka kumi na minne.
Habari ID: 3482209    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/06

IQNA – Mji wa Aden, Yemen umeshuhudia hafla adhimu ya Qur’ani Tukufu iliyowaleta pamoja wanawake waliobobea katika hifdhi, ambapo walifanikiwa kuisoma Qur’ani Tukufu yote kwa kuhifadhi (kwa moyo) ndani ya kikao kimoja.
Habari ID: 3482198    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/04

IQNA – Mwaka huu, kozi za kiangazi katika mkoa wa Hajjah zimepata usajili mkubwa usiokuwa wa kawaida, zikihusisha shule 1,482.
Habari ID: 3482144    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/16

IQNA-Jeshi la Yemen limetangaza kuwa liko tayari kuingilia moja kwa moja kijeshi iwapo pande nyingine zitaungana na Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mhimili wa Muqawama.
Habari ID: 3482096    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/28

IQNA – Hafla maalumu ilifanyika nchini Yemen kuwaenzi wanafunzi 200 waliokamilisha masomo yao katika vikao vya Qur’ani vilivyoendeshwa misikitini katika kitongoji cha Madhbah, Wilaya ya Maeen.
Habari ID: 3481939    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/15

IQNA-Kiongozi wa harakati ya Muqawama (mapambano ya Kiislamu) ya Ansarullah nchini Yemen amesema kuwa Marekani na Utawala wa Israel zinakabiliana na Iran kwa sababu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasimama kama kizuizi dhidi ya mradi wao mpana wa kutawala eneo la Asia Magharibi au Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3481932    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/14

IQNA-Jumuiya ya Wasomi wa Kiislamu wa Yemen imetangaza mshikamano wake kamili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutaka ulimwengu wa Kiislamu kuchukua msimamo wa pamoja katika suala hilo.
Habari ID: 3481879    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/01

IQNA-Mashindano ya Qur’ani kwa wasichana yamefanyika katika mkoa wa Hajjah nchini Yemen, yakionyesha juhudi za kuimarisha elimu ya Qur’ani miongoni mwa wanafunzi wa kike.
Habari ID: 3481855    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/27

IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Marekani ilichochea machafuko ya hivi karibuni nchini Iran, na kwamba imefedheheka kwani njama za zimepata kipigo kikubwa cha kimkakati.
Habari ID: 3481834    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/23

IQNA – Maonyesho yenye kichwa “Shahidi wa Qur’ani” yameandaliwa katika mkoa wa al-Hudaydah, Yemen, yakitoa heshima kwa Sayyid Hussein Badreddin al-Houthi, ambaye nchini humo anajulikana kama shahidi wa Qur’ani.
Habari ID: 3481815    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/18

IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amewapongeza wananchi wa Iran kwa namna walivyokabiliana na njama zilizopangwa na Marekani pamoja na Israel.
Habari ID: 3481808    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/17

IQNA – Mjadala maalum kuhusu “Wajibu wa Umma wa Kiislamu katika kukabiliana na udhalilishaji wa Qur’ani na matukufu mengine na maadui” umefanyika mjini Sanaa, mji mkuu wa Yemen.
Habari ID: 3481772    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/06

IQNA – Mashindano ya Qur’ani kwa wanafunzi wa kiume na wa kike kutoka shule za serikali na binafsi yameanza Jumapili katika Mkoa wa Hodeidah, Yemen.
Habari ID: 3481770    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/05

IQNA – Mkuu wa Baraza la Maendeleo ya Utamaduni wa Qur’ani Tukufu nchini Iran, Hujjatul Islam Mohammad Qomi, amepongeza mwitikio wa nguvu wa wananchi wa Yemen kufuatia kitendo cha kuvunjiwa heshima kwa Qur’ani Tukufu kilichofanywa na mgombea wa Seneti nchini Marekani.
Habari ID: 3481700    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/22

IQNA – Mashirika na taasisi mbalimbali za Ki yemen i yamelaani kitendo cha hivi karibuni cha kudhalilisha Qur’an Tukufu nchini Marekani, na yameunga mkono mwito wa kiongozi wa Ansarullah (Houthi) wa kufanya maandamano ya kulaani kitendo hicho cha kufuru.
Habari ID: 3481683    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/19

IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen, Abdul‑Malik al‑Houthi, amelaani vikali ukatili unaofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wanawake wa Palestina, akisema maelfu ya wanawake—akiwemo wajawazito, wasichana wadogo na wazee—wameuawa katika maeneo yote yanayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3481649    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/12

IQNA-Katika hafla ya kusisimua iliyofanyika Sa’ada, Yemen, watoto wa mashujaa wameenziwa kwa mafanikio yao katika mashindano ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu, yaliyoandaliwa na Shule ya Qur’ani ya Mashujaa kwa ushirikiano na Taasisi ya Mashujaa.
Habari ID: 3481330    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/05

IQNA-Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, katika hotuba aliyotoa kwa ajili ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa zamani wa Hizbullah ya Lebanon, alisisitiza kuwa njia na mtindo wa shahidi huyu bado unaendelea.
Habari ID: 3481295    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/28