IQNA – Sheikh Hayatu Umar, mhadhiri wa masomo ya Kiislamu katika Chuo Kikuu cha Shirikisho cha Dutsin‑Ma (FUDMA) kilichopo Jimbo la Katsina nchini Nigeria, amewataka vijana na wanafunzi waweke kipaumbele katika kuhifadhi Qur’ani Tukufu, akisisitiza kuwa kufanya hivyo huminua mtu hadhi yake duniani na Akhera.
Habari ID: 3482159 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/22
IQNA – Chuo cha elimu ya Kiislamu kwa jina la Chuo cha Imam Muhammad Baqir (AS) kimefunguliwa rasmi katika mji wa Qani, nchini Nigeria.
Habari ID: 3481926 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/12
IQNA-Rais wa Nigeria ametangaza mkakati wa kitaifa wa uchumi wa Halal unaolenga kuiwezesha nchi hiyo kujipatia nafasi ya mbele katika soko la kimataifa la Halal linalokua kwa kasi.
Habari ID: 3481908 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/09
IQNA-Umoja wa Mataifa umelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea kwenye msikiti ulioko katika Soko la Gamboru, mjini Maiduguri, katika Jimbo la Borno kaskazini-mashariki mwa Nigeria, lililopelekea kuuawa na kujeruhiwa makumi ya Waislamu waliokuwemo msikitini humo.
Habari ID: 3481717 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/26
IQNA – Kufuatia kuongezeka kwa vitendo vya ujambazi na vurugu, Serikali ya Jimbo la Kano nchini Nigeria imeandaa kikao cha dua maalum mwishoni mwa wiki, ikiwakusanya Maqari au wasomaji wa Qur’ani Tukufu wapatao 4,444 kuomba msaada wa Mwenyezi Mungu kwa ajili ya amani na usalama katika jimbo lote na nchi zima kwa ujumla.
Habari ID: 3481636 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/09
IQNA – Jumuiya ya Waislamu wa jiji la Winnipeg, mji mkuu wa jimbo la Manitoba nchini Kanada (Canada), walikusanyika mwishoni mwa wiki hii kusherehekea ufunguzi rasmi wa msikiti mpya katika jiji hilo.
Habari ID: 3481392 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/21
IQNA – Magaidi walifyatua risasi ndani ya msikiti katika eneo la kaskazini-kati mwa Nigeria wakati wa Swala ya Alfajiri siku ya Jumanne, na kuua angalau watu 27, maafisa wa eneo hilo na wakazi wamesema.
Habari ID: 3481113 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/20
IQNA – Mwanazuoni mmoja wa Kiislamu kutoka Nigeria amezindua mradi wa kipekee wa tarjuma ya Qur’ani Tukufu kwa lengo la kuwafikishia ujumbe wa Allah kwa jamii zinazozungumza Kiyoruba duniani kote.
Habari ID: 3481025 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/01
IQNA – Rais wa Nigeria ameielezea Qur'ani Tukufu kama mwongozo kamili kwa wanadamu na chanzo cha nuru, hekima na faraja.
Habari ID: 3480770 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/01
IQNA – Mashindano ya kuhifadhi Qur’ani yalifanyika mjini Damaturu, mji mkuu wa jimbo la Yobe nchini Nigeria, siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3480701 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/18
IQNA – Nigeria inapanga kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu na kushirikisha maqari wa Qur’ani kutoka nchi 20.
Habari ID: 3480632 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/03
IQNA – Shirika la haki za binadamu la Kiislamu nchini Nigeria limekaribisha uamuzi wa hivi karibuni wa gavana wa Jimbo la Jigawa kuruhusu wanawake Waislamu wanaofanya kazi katika kampuni binafsi za usalama kuvaa Hijabu kama sehemu ya sare zao.
Habari ID: 3480567 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/20
IQNA – Baraza Kuu la Mambo ya Kiislamu la Nigeria (NSCIA) limetangaza washindi wa Mashindano ya Kitaifa ya Qur’anI yaliyofanyika hivi karibuni katika Jimbo la Kebbi.
Habari ID: 3480025 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/10
Mashindano ya Qur'ani Afrika
IQNA – Washindi wa mashindano ya 39 ya kitaifa ya Quran nchini Nigeria walizawadiwa katika sherehe iliyofanyika Jumamosi.
Habari ID: 3479974 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/30
Waislamu Nigeria
IQNA - Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria imeadhimisha mwaka wa 9 tangu mauaji ya Zaria, ikitoa wito wa kufunguliwa mashtaka wahusika wa mashambulizi mabaya dhidi ya Waislamu wa Shia.
Habari ID: 3479907 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/16
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la 39 la Mashindano ya Kuhifadhi Qur'ani katika Jimbo la Bauchi la Nigeria lilianza katika mji mkuu wa jimbo hilo siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3479763 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/17
Waislamu Nigeria
IQNA - Shule ya Amirul Muminin (AS) huko Abuja, mji mkuu wa Nigeria, imezindua kozi za kuhifadhi Qur'ani kwa wavulana na wasichana.
Habari ID: 3479475 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/23
IQNA - Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, alikutana na mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei nchini Iraq.
Habari ID: 3479384 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/04
Nigeria
IQNA - Waislamu wa madhehebu ya Shia walifanya maandamano katika maeneo tofauti ya Nigeria kupinga ukatili wa hivi majuzi wa polisi dhidi ya wanawake na wasichana waliokuwa wanashiriki katika katika hafla za maombolezo ya Siku ya Arbaeen.
Habari ID: 3479370 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/02
Harakati za Qur'ani
IQNA - Usomaji wa hivi karibuni wa qari wa Tarteel wa Qur'ani kwa mtindo wa Sheikh Abdul Basit Abdul Samad umeibua sifa.
Habari ID: 3478789 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/08