IQNA

Mashindano ya Qur'ani kwa wanafunzi wa Kiislamu huunganisha vyuo vikuu na maisha ya kiroho

Mashindano ya Qur'ani kwa wanafunzi wa Kiislamu huunganisha vyuo vikuu na maisha ya kiroho

IQNA – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu wa Vyuo Vikuu si tu jukwaa la mashindano kuhusu maarifa ya Qur’ani, bali pia ni fursa adhimu ya kukuza na kuimarisha maisha ya kiroho katika mazingira ya kielimu, afisa mmoja amesema.
14:11 , 2025 Jun 02
Kiongozi wa Hizbullah: Misingi ya Imam Khomeini (MA) itasalia kuwa nuru ya Muqawama

Kiongozi wa Hizbullah: Misingi ya Imam Khomeini (MA) itasalia kuwa nuru ya Muqawama

IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naeem Qassem, amesisitiza kuwa mafundisho Uislamu asili wa Mtume Muhammad kupitia misingi ya kimapinduzi ya Imam Ruhollah Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu) yataendelea kuwa mwanga unaoongoza harakati za mapambano au Muqawama na vuguvugu za ukombozi katika eneo la Asia na ulimwengu mzima wa Kiislamu.
13:54 , 2025 Jun 02
Al-Azhar yazindua mpango wa mafunzo  ya Qur'ani katika majira ya joto

Al-Azhar yazindua mpango wa mafunzo ya Qur'ani katika majira ya joto

IQNA – Toleo la tatu la mpango wa majira ya joto wa Qur'ani wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri limeanza kutekelezwa Jumapili.
19:40 , 2025 Jun 01
Israel yaua na kujeruhi Wapalestina 150 katika 'mitego ya kifo' ya vituo vya misaada Gaza

Israel yaua na kujeruhi Wapalestina 150 katika 'mitego ya kifo' ya vituo vya misaada Gaza

IQNA-Ofisi ya Habari ya Serikali katika Gaza imetangaza kuwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya mauaji mapya ya halaiki dhidi ya raia wa Kipalestina katika maeneo ya usambazaji wa misaada ya kibinadamu, ambayo yanajulikana kama “mitego ya kifo”, ambapo watu wasiopungua 30 wameuawa shahidi na zaidi ya 120 kujeruhiwa.
12:16 , 2025 Jun 01
Imam Khomeini alifanya Palestina kuwa kipaumbele nambari moja katika ulimwengu wa Kiislamu

Imam Khomeini alifanya Palestina kuwa kipaumbele nambari moja katika ulimwengu wa Kiislamu

IQNA – Afisa mmoja wa Iran ameelezea mtazamo wa kimapinduzi wa Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu Amrehemu) kuhusu suala la muqawama (mapambano), akisema kuwa muasisi huyo wa Jamhuri ya Kiislamu aligeuza Palestina kuwa suala nambari moja kwa Waislamu duniani.
12:10 , 2025 Jun 01
Qari wa Iran: Hija ni fursa ya mashirikiano kwa wasomaji wa Qur'ani wa ulimwengu wa Kiislamu

Qari wa Iran: Hija ni fursa ya mashirikiano kwa wasomaji wa Qur'ani wa ulimwengu wa Kiislamu

IQNA – Ibada ya Hija ni fursa adhimu kwa wasomaji wa Qur'ani kutoka nchi mbalimbali za Kiislamu kukutana, kushirikiana na kunufaika na tajiriba za wenzao, amesema Qari mmoja kutoka Iran.
12:03 , 2025 Jun 01
Rais wa Nigeria: Qur'ani Tukufu ni Chanzo cha Nuru, Hekima na Faraja

Rais wa Nigeria: Qur'ani Tukufu ni Chanzo cha Nuru, Hekima na Faraja

IQNA – Rais wa Nigeria ameielezea Qur'ani Tukufu kama mwongozo kamili kwa wanadamu na chanzo cha nuru, hekima na faraja.
11:50 , 2025 Jun 01
17