Arbaeen 1446
IQNA - Hija ya Arbaeen ina uwezo mkubwa wa kuunda vuguvugu la kimataifa dhidi ya dhuluma na ukandamizaji, mwambata wa Utamaduni wa Iran nchini Tanzania amesema.
Habari ID: 3479336 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/27
Arbaeen 1446 H
IQNA - Zaidi ya wafanyaziara milioni 21 kutoka duniani kote walishiriki katika matembezi ya mwaka huu ya Arbaeen nchini Iraq, kwa mujibu wa Ofisi ya Haram Tukufu la Imam Hussein (AS), Karbala, Iraq.
Habari ID: 3479332 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/26
Arbaeen 1446 H
IQNA - Msafara wa Qur'ani wa Iran uliotumwa Iraq kushiriki katika vikao vya Qur'ani kwa munasaba wa Arbaeen ulihitimisha shughuli zake baada ya karibu siku kumi.
Habari ID: 3479331 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/26
Arbaeen 1446
IQNA - Matembezi ya Arbaeen ambayo huvutia mamilioni ya wafanyaziara kila mwaka ni ishara ya utambuzi wa ustaarabu mpya wa Kiislamu, mwanazuoni wa Iraq alisema.
Habari ID: 3479330 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/26
Arbaeen 1446
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema mbele ya wanafunzi wa vyuo vikuu katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Husain AS kwamba mapambano baina ya kambi ya haki ya Imam Hussein (AS) na kambi ya batili ya Yazid kamwe havitomalizika.
Habari ID: 3479328 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/25
Arbaeen 1446
IQNA- Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesisitiza kuwa misimamo yote ya uungaji mkono wa Palestina inatokana na harakati ya Imam Hussein (AS) na akasema: Kukusanyika kwetu leo katika barabara ya kuelekea Karbala ni dhihirisho la ushindi harakati ya Imam Hussein (AS) na dalili zinaashiria kuangamizwa Israel na ushindi wa uhakika wa Gaza.
Habari ID: 3479327 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/25
Arbaeen 1446 H
IQNA-Mamilioni ya Waislamu kutoka nchi mbalimbali duniani wanakusanyika kwenye mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq ili kuadhimisha kumbukumbu ya Arubaini au Arbaeen, inayoashiria siku ya 40 baada ya kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) Imam Hussein (AS), katika ardhi ya Karbala hapo mwaka 61 Hijria.
Habari ID: 3479326 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/25
Arbaeen 1446
IQNA - Kila siku, makumi ya maelfu ya mazuwar au wafanyaziara wa Arbaeen hutembelea Msikiti Mkuu wa Kufa, ulioko karibu na Najaf, Iraq.
Habari ID: 3479324 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/24
Arbaeen 1446
IQNA – Mwanazuoni na mtafiti wa Iraq aliangazia nafasi ambayo matembezi ya Arbaeen yanaweza kuwa nayo katika kukuza fikra kuhusu Umahdi yaani itikadi ya Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake)
Habari ID: 3479323 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/24
Arbaeen 1446
IQNA - Imam Hussein (AS) alitaka kueneza uadilifu na hivyo matembezi ya Arbaeen yanahitaji kutumika kama njia ya kutafakari mapambano dhidi ya madhalimu wa leo, mwanazuoni mmoja wa Kiislamu anasema.
Habari ID: 3479321 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/24
Arbaeen 1446
IQNA - Mawkib yenye jina la "Neda al-Aqsa" (Wito wa Al Aqsa) imeundwa kwenye nguzo nambari 833 ya barabara ya Najaf-Karbala nchini Iraq katika matembezi ya Arbaeen ya mwaka huu. Mawkiba hii inakaribisha wafanyaziara na maafisa ambao husimama ili kutoa sauti zao za mshikamano. na Wapalestina huku kukiwa na mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.
Habari ID: 3479315 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/23
Arbaeen 1446
IQNA - Wajumbe wa msafara wa Qur'ani wa Iran hadi sasa wameandaa programu 650 tofauti kwa wafanyaziara wa Arbaeen nchini Iraq.
Habari ID: 3479313 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/23
Arbaeen na Muqawama
IQNA - Kundi la wasomaji Qur’ani (maqari) wa Kiirani walioenda Iraq wakati wa msimu huu wa Arbaeen wameshiriki katika vikao vya kusoma Qur'ani kwenye kaburi la Shahidi Abu Mahdi al-Muhandis, naibu mkuu wa zamani wa VJeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq (PMU).
Habari ID: 3479310 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/21
Arbaeen 1446
IQNA - Huku mamilioni ya wafanyaziara au mazuwar wakiwa wanashiriki katika matembezi ya Arbaeen, wataalamu wanasisitiza umuhimu wa kudumisha mlo sahihi ili kuhakikisha afya na ustawi njiani.
Habari ID: 3479308 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/21
Arbaeen 1446
IQNA - Kundi la wanaharakati wa Qur'ani wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa wamelekea Iraq Jumatatu jioni kushiriki katika matembezi ya Arbaeen ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3479305 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/20
Arbaeen
IQNA – Assad Al Eidani Gavana wa Basra kusini mwa Iraq ametangaza siku tatu za likizo ya umma katika mkoa huo kwa munasaba wa Arbaeen ya Imam Hussein (AS)
Habari ID: 3479304 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/20
Arbaeen katika Qur'an /3
IQNA – Wakati Arbaeen, maana yake ni arobaini na arubaini, ni neno linalohusiana na wingi, katika maandiko mengi ya Kiislamu na Hadithi, linatumika kurejelea sifa na ukuaji wa kiroho wa mwanadamu.
Habari ID: 3479302 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/19
Arbaeen 1446
IQNA – Jumba la Makumbusho la Al-Kafeel, lenye mafungamano na Haram Takatifu ya Hazrat Abbas (AS), limeweka Mawkib kwenye barabara ya Najaf-Karbala ili kuwahudumia wafanyaziara wa Arbaeen.
Habari ID: 3479301 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/19
IQNA - Wanachama wa kike wa Msafara wa Qur'ani wa Arbaeen wa Iran, unaojulikana kama Msafara wa Noor, wameanza kuandaa programu za Qur'ani kwa ajili ya mazuwar.
Habari ID: 3479300 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/19
Arbaeen 1446
IQNA - Mawkib kwa ajili ya wafanyaziara au mazuwar wa Arbaeen wanaozungumza Kiingereza itazinduliwa Karbala, Iraq, katika siku zijazo.
Habari ID: 3479298 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/19