iqna

IQNA

Arbaeen 1446
IQNA - Mkurugenzi wa Taasisi ya Qur'ani inayohusishwa na Haram ya Hazrat Abbas (AS) huko Karbala ametangaza kuanza kwa programu maalum za Qur'ani kwa wafanyaziara wa Arbaeen.
Habari ID: 3479296    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/18

Arbaeen 1446
IQNA - Waziri Mkuu wa Iraq alisema idadi ya wafanyaziara wa Arbaeen kutoka Iraq na nje ya nchi inatarajiwa kufikia milioni 23 mwaka huu.
Habari ID: 3479294    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/18

Arbaeen katika Qur’ani /2
IQNA – Neno Arbaeen (maana ya siku arubaini) limetajwa ndani ya Qur’ani Tukufu kuhusu Miqat ya Musa (AS) na kuhusu jinsi Bani Isra’il walivyokwama. Kuna aya 4 ndani ya Qur’ani Tukufu ambamo Arbaeen imetajwa, 3 kati yake ni kuhusu Bani Isra’il.
Habari ID: 3479292    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/18

Arbaeen 1446
IQNA - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran Mohammad Reza Aref amesisitiza haja ya kutoa huduma bora kwa wafanyaziara wa Arbaeen.
Habari ID: 3479287    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/16

Arbaeen katika Qur'an/1
IQNA – Kuna idadi au nambari 39 zilizotajwa ndani ya Qur'an, baadhi yake zinarejelea tu nambari, wakati zingine zina siri nyuma yake.
Habari ID: 3479282    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/15

Arbaeen 1446
IQNA - Makao Makuu makuu ya Iran ya Arbaeen yanasema idadi ya wafanyaziara wa Iran wanaosafiri kwenda Iraq kwa ajili ya kushiriki matembezi ya mwaka huu ya Arbaeen hadi sasa ni zaidi ya 650,000.
Habari ID: 3479279    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/14

Kadhia ya Palestina
IQNA - Washiriki katika mkutano wa kimataifa huko Karbala, Iraq wamesisitiza haja ya mshikamano na watu wa Palestina na kususia utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3479278    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/14

IQNA - Watu kutoka Ra's al-Bisha, wilaya ya kusini mwa Iraq, walianza safari yao ya miguu hadi Karbala kuashiria Arbaeen mapema Agosti 2024. Waumini hao wanatazamiwa kutumbea masafa ya kilomita 615 kuonyesha mapenzi yao kwa Imam Hussein (AS)
Habari ID: 3479276    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/13

Arbaeen 1446
IQNA - Wanachama wa msafara wa Qur'ani wa Arbaeen wa Iran wametajwa na kundi hilo linajumuisha wasomaji Qur'ani waalikwa kutoka nchi 14.
Habari ID: 3479275    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/13

Arbaeen 1446
IQNA - Kituo cha Dar-ul-Quran chenye mfungamano na Mfawidhi wa Kaburi Takatifu la Imam Ali (AS) kitaendesha programu za Qur'ani kwa wafanyaziara wakati wa matembezi ya Arbaeen mwaka huu.
Habari ID: 3479269    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/12

Arbaeen 1446
IQNA - Msomi wa chuo kikuu nchini Iran ameyataja matembezi ya ya kila mwaka ya Arbaeen kama dhihirisho la nguvu za ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3479267    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/12

Arbaeen 1446
IQNA - Afisa wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa (SAW) anasema maelfu ya wanafunzi kutoka chuo hicho watashiriki matembezi ya Arbaeen mwaka huu ili kueneza mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3479261    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/11

Arbaeen
IQNA - Wizara ya mambo ya ndani ya Iraq imetangaza kuwashikilia wanachama 11 wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIL au ISIS).
Habari ID: 3479251    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/09

Arbaeen 1446
IQNA – Matembezi ya Arbaeen, ambayo hujumuisha mamilioni ya waumini, yanatoa fursa muhimu ya kukuza utamaduni wa Qur'ani Tukufu, afisa wa Qur'ani wa Iran anasema.
Habari ID: 3479238    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/06

Arbaeen 1446
IQNA - Rais Masoud Pezeshkian wa Iran aliipongeza serikali ya Iraq kwa uratibu na ushirikiano na Jamhuri ya Kiislamu ili kuimarisha huduma zinazotolewa kwa wafanyaziara wa Arbaeen.
Habari ID: 3479226    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/04

Arbaeen 1446
IQNA - Matembezi ya kila mwaka ya Arbaeen ni fursa ya kueneza utamaduni wa kulinda mazingira.
Habari ID: 3479221    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/03

Arbaeen 1446
IQNA - Jumla ya mawkib 3,500 za Iran zitatayarishwa kuhudumia wafanyaziara takribani milioni tano katika matembezi ya mwaka huu ya Arbaeen (Arobaini au Arba'in).
Habari ID: 3479175    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/23

IQNA - Afisa mmoja anasema kauli mbiu ya maandamano ya mwaka huu ya Arbaien ilichukuliwa kwa kuzingatia ukandamizaji wa kikatili unaoendelea wa Israel dhidi ya watu wa Palestina.
Habari ID: 3479003    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/23

Arbaeen
IQNA - Balozi wa Iran nchini Iraq Mohammad Kazem Al Sadeq amesema kuimarika kila mwaka mjumuiko na matembezi ya Arbaeen kama mfano wa utamaduni adhimu wa Kiislamu.
Habari ID: 3478699    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/19

Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa hapa Tehran hii leo amesema matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein (AS) ni zoezi la kimaanawi la aina yake na lisilo na mfano.
Habari ID: 3477604    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/15