IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa wito wa kueneza mafundisho ya Qur'ani Tukufu katika jamii huku akipongeza juhudi za shughuli za Qur'ani zilizofanyika nchini Iran wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480598 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/26
IQNA – Katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani wa mwaka 1446 Hijria (2025) , Kuwait imesema imeshuhudia ongezeko la ajabu la watu wanaokumbatia Uislamu.
Habari ID: 3480493 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/04
IQNA – Katika Khutbah Sha'baniyah yake, Mtume Muhammad (SAW) alisisitiza kuwa kitendo bora zaidi katika mwezi mtukufu wa Ramadhani ni kujiepusha na yale ambayo Mwenyezi Mungu ameyakataza.
Habari ID: 3480487 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/02
IQNA – Bi kizee mwenye umri wa miaka 117, anayeaminika kuwa miongoni mwa wazee zaidi nchini Malaysia, ameonyesha shukrani kwa kuwa na uwezo wa kusherehekea Idul Fitr nyingine akiwa na familia yake.
Habari ID: 3480486 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/02
IQNA – Ili kukuza tabia njema, mpango wa mwaka mzima ni muhimu, na wakati bora wa kuanza ni mwishoni mwa mwezi mtukufu Ramadhani.
Habari ID: 3480483 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/01
IQNA – Moja ya makosa yetu makubwa ni kushindwa kufahamu manufaa ya kiroho tunayopata wakati wa Ramadhani.
Habari ID: 3480475 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/31
IQNA – Zaidi ya waumini milioni 122 walitembelea Msikiti Mtakatifu wa Makka ambao unajulkana kama Masjid Al Haram na Msikiti wa Mtume (SAW) mjini Madina amba oni maarufu kama Al Masjid an Nabawi katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3480473 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/30
IQNA – Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al Haram, eneo takatifu zaidi katika Uislamu, uliwapokea waumini, wakiwemo Mahujaji wa Hija ndogo ya Umrah,zaidi ya milioni 4 kwa siku moja katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480456 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/28
IQNA – Wapalestina wanaendelea kushiriki katika Swala za jamaa katika Msikiti wa Al-Aqsa katika jiji takatifu la al-Quds kwa wingi wakati wa Ramadhani licha ya vizuizi vinavyowekwa na utawala dhalimu wa Israel.
Habari ID: 3480443 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/26
IQNA – Waumini wametakiwa kutowaleta watoto wadogo katika Msikiti Mkuu wa Makkah, Masjid al Haram, wakati wa siku za mwisho za mwezi mtukufu Ramadhani. Hii ni kutokana na eneo hili takatifu kushuhudia ongezeko kubwa la umini
Habari ID: 3480429 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/24
IQNA – Kama miaka iliyopita, tukio la Futari Kubwa litafanyika katika mji wa Bristol, Uingereza, mwaka huu.
Habari ID: 3480428 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/24
IQNA – Hafla ya kufunga mashindano ya Qur'ani ya Ramadhani nchini Uganda ilifanyika wiki hii katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Habari ID: 3480423 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/23
IQNA – Nchini Oman, nchi ya Kiarabu katika eneo la Asia Magharibi, Ramadhani unajulikana kama mwezi uliopewa kipaumbele kwa ajili ya hisani na matendo mema.
Habari ID: 3480415 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/22
IQNA – Dhifa ya futar imeandaliwa Jumatatu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, kwa ajili ya mabalozi na wawakilishi wa nchi za Kiislamu walioko Tehran.
Habari ID: 3480401 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/19
IQNA – Hafla ya usomaji wa Qur'ani Tukufu hufanyika kila siku katika misikiti na kumbi za kidini zijulikanazo kama Hussainiya katika eneo la Kashmir linalosimamiwa na India wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Mpiga picha ni Ubaid Mukhtar
Habari ID: 3480400 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/19
IQNA – Katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, misikiti nchini Kosovo imepiga hatua kubwa katika kufundisha Qur'ani kwa watoto.
Habari ID: 3480376 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/15
Tawakkul katika Qur'ani/1
IQNA – Baadhi ya wataalamu wa lugha wanaamini kuwa neno la Kiarabu 'Tawakkul' linatokana na dhana ya kuonyesha kutoweza na udhaifu katika juhudi za binadamu.
Habari ID: 3480374 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/15
IQNA – Katika siku kumi za mwanzo za Mwezi Mtukufu Ramadhani, Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al Haram, umepokea zaidi ya waumini milioni 25, idadi ambayo imevunja rekodi ya mahudhurio.
Habari ID: 3480368 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/14
IQNA: Nchini Tanzania, kusadifiana kwa Ramadhani na Kwaresima kwa wakati mmoja kumewaleta Waislamu na Wakristo pamoja, wakishiriki kufunga na kutafakari.
Habari ID: 3480364 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/13
IQNA – Kila nchi ya Kiislamu ina desturi na mila zake linapokuja suala la mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480342 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/10