Uislamu na Vyombo vya Habari
IQNA - Mkuu wa Shirika la Qur'ani la Wanataaluma wa Iran amefafanua misingi mitano ya Qur'ani kwa ajili ya mawasiliano bora ya ujumbe.
Habari ID: 3479765 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/17
Uislamu Duniani
IQNA - Jumuiya ya Kiislamu ya Peru huko Lima imetunukiwa zawadi ya nakala 50 za Qur'ani Tukufu zenye tarjuma ya Kihispania.
Habari ID: 3479760 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/16
Muqawama
IQNA – Mhimili wa Muqawama (Mapambano ya Kiislamu) umepata nguvu na uhalali kiasi kwamba nyanja yake ya ushawishi imevuka eneo hilo na kufika duniani kote, amesema mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon.
Habari ID: 3479756 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/16
Mawaidha
IQNA – Neno Barzakh maana yake ni eneo au hali ya baina ya vitu viwili. Hivyo basi, Barzakh (toharani) ni jukwaa baina ya dunia na Siku ya Kiyama.
Habari ID: 3479748 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/13
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Iran itakuwa na wawakilishi watatu katika toleo la 13 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Kuwait.
Habari ID: 3479746 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/13
Turathi
IQNA - Chuo Kikuu cha Warith Al-Anbiyaa katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq kinapanga kuandaa warsha za kuandika Qur’ani Tukufu kwa mkono.
Habari ID: 3479744 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/13
Harakati za Qur'ani
IQNA - Kongamano la 7 la Kimataifa Kuhusu Fikra za Qur'ani za Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei limepokea makala zaidi ya 2,000, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3479742 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/12
IQNA - Mwanasiasa wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Uswidi na Denmark Rasmus Paludan atakata rufaa dhidi ya hukumu aliyopewa wiki iliyopita na mahakama ya Uswidi kwa kuivunjia heshima Qur'ani.
Habari ID: 3479739 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/12
Mawaidha
IQNA – Wafasiri wa Qur’ani Tukufu wanazingatia Ajal mbili (wakati wa kufa) kwa wanadamu kwa kuzingatia Aya ya 2 ya Surah Al-Anaam ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3479737 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/11
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Maustadh wawili mashuhuri wa Qur'ani wa Misri ni miongoni mwa wajumbe wa jopo la majaji katika mashindano ya kwanza ya kimataifa ya Qur'ani nchini Iraq.
Habari ID: 3479728 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/10
Mtazamo
IQNA – Wanazuoni na wasomi wa ngazi za juu wa Kiislamu wanaamini kwamba ufufuo wa mwanadamu utakuwa katika mwili na pia katika roho.
Habari ID: 3479725 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09
IQNA - Tuzo la 13 la Kimataifa la Qur'ani la Kuwait, linaloshirikisha mashindano ya kuhifadhi, qiraa na Tajweed, litafanyika kuanzia Novemba 13 hadi 20, 2024.
Habari ID: 3479723 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09
Qurani
IQNA - Kuna wanaharakati wanne wa Qur'ani wa Iran wanaohudhuria mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iraq yaliyoanza mjini Baghdad siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3479722 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09
IQNA - Mashindano ya usomaji wa Qur'ani Tukufu yalifanyika Rawalpindi, Pakistani kuwaenzi mashahidi wa muqawama.
Habari ID: 3479718 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Sherehe imefanyika nchini Uingereza kutangaza na kuwatunuku washindi wa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479711 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/06
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Mwanasiasa wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Denmark amehukumiwa kifungo cha miezi minne jela na mahakama ya Uswidi kwa kuchochea chuki za kikabila kwa kuchoma moto Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479709 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/06
IQNA - Mchakato wa kutathmini washiriki wa hatua ya awali ya Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran umeanza leo Jumanne, Novemba 5
Habari ID: 3479707 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05
Qur'ani Tukufu
IQNA - Hamza Roberto Piccardo ndiye Mtaliano wa kwanza Mwislamu ambaye ameitarjumi Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiitaliano.
Habari ID: 3479700 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/04
Mashindano
IQNA - Mashindano ya Qur'ani Tukufu yalifanyika kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa huko Kyengera, mji mkuu wa Uganda wa Kampala, wikendi hii.
Habari ID: 3479698 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/04
Muqawama
IQNA - Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amefafanua jinsi kiongozi wa harakati hiyo aliyeuawa shahidi, Yahya Sinwar, alivyowaheshimu sana wahifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3479695 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/03