Qiraa
IQNA - Kwa mara ya kwanza, kuanzia Januari 2025, Idhaa ya Qur'ani ya Misri itarusha hewaniusomaji wa Tarteel wa Qur'ani kwa mtindo wa Warsh kutoka kwa simulizi la Nafi' na Qari mashuhuri wa Misri, Sheikh Abdul Basit Abdul Samad.
Habari ID: 3479958 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/27
Itikadi
IQNA - Uislamu na Ukristo ni dini zenye mitazamo sawa kuhusu mambo kadhaa. Linapokuja suala la mtazamo wa dini hizi mbili kuhusu Nabii Isa (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) imani zote mbili zinamtambua Iss kama mtu muhimu, lakini kuna hitilafu kuhusu maisha yake, utume na hatima yake.
Habari ID: 3479951 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/25
Uislamu na Utamaduni
IQNA - Morocco inapanga kutafsiri tafsiri za Quran katika lugha ya Amazigh. Amazigh imekuwa lugha rasmi nchini Morocco tangu 2011.
Habari ID: 3479950 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/24
Maelewano
IQNA - Wakati Krismasi ikiwa imewadia, afisa wa kundi kubwa zaidi la kutetea Waislamu nchini Marekani, akinukuu aya za Qur’ani Tukufu, amengazia jinsi Waislamu wanavyomheshimu Yesu au Nabii Isa (AS).
Habari ID: 3479946 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/24
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Haram Tukufu ya Hadhrat Al-Abbas (AS) huko Karbala, Iraq, imetangaza rasmi mchakato wa usajili wa toleo la pili la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yajulikanayo kama Tuzo ya Kimataifa ya Al-Ameed ya Kusoma Qur’ani.
Habari ID: 3479944 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/23
Umrah
IQNA – Msanii maarufu katika mtandao wa kijamii wa TikTok Khaby Lame hivi majuzi alipata taufiki ya kutekeleza Hija ndogo ya Umrah nchini Saudi Arabia na akiwa mbele ya Kaaba Tukufu.
Habari ID: 3479943 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/23
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mji mkuu wa Nepal wa Kathmandu ni mwenyeji wa toleo la pili la mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3479942 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/23
Harakati za Qur'ani
IQNA - Shule ya kuhifadhi Qur'ani imezinduliwa nchini Misri kwa lengo la kutoa mafunzo kwa wahifadhi mia moja wa Qur'ani kila mwaka.
Habari ID: 3479937 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/22
IQNA - Kikao cha Kusoma Qur'ani kiifanyika kwenye kaburi tukufu la Bibi Masoumah (SA) huko Qom, Iran, tarehe 18 Desemba 2024.
Vijana waliohifadhi Qur'ani walitunukiwa katika hafla hiyo.
Habari ID: 3479934 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/21
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mtaalamu na mwanaharakati wa Qur'ani wa Iran amepongeza maandalizi ya kitaalamu ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya nchi hiyo.
Habari ID: 3479932 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/21
Harakati za Qur'ani
IQNA - Sekretarieti ya Idara ya Wakfu ya Kuwait imetangaza majina ya washindi wa Mashindano ya 27 ya Kitaifa ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani nchini humo
Habari ID: 3479927 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/20
Harakati za Qur'ani
IQNA – Qari wa ngazi za juu wa kike wa Qur’ani nchini Iran amesema mazingira ya kuunga mkono na ya kutia moyo yanayotolewa na wazazi yana jukumu muhimu katika kukuza talanta za Qur’ani kwa watoto.
Habari ID: 3479918 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/18
Harakati za Qur'ani
IQNA - Mhifadhi wa Qur'ani wa Misri aliyefariki katika ajali ya gari wiki iliyopita ni miongoni mwa washindi katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Port Said.
Habari ID: 3479917 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/18
Fikra
IQNA – Tarjuma ya Qur’ani Tukufu ni muhimu katika kufahamu maandishi ya Mwenyezi Mungu lakini haitoshi, anasema profesa mashuhuri wa lugha ya Kiarabu.
Habari ID: 3479916 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/18
Utamaduni wa Qur'ani
IQNA – Mbunge mmoja nchini Iran amesema kutekeleza mafundisho ya Sunnah za Qur'ani (sharia) kumewapa Wairani roho ya kusimama dhidi ya madola yenye kiburi na ya kibeberu.
Habari ID: 3479911 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/17
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mshindi Qiraa ya Qur’ani katika kategoria ya wanawake katika Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran amesema yeye hufanya mazoezi ya qiraa na kusoma tafsir kila usiku pamoja na familia yake.
Habari ID: 3479904 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/15
Harakati za Qur'ani
IQNA -Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu nchini Misri limetangaza kuachiliwa kwa usomaji nadra wa Qur'ani kutoka enzi ya dhahabu ya sanaa ya Qur'ani ya Misri kwenye kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3479901 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/15
Harakati za Qur'ani
IQNA - Kozi tatu za kimataifa za mtandaoni zinazojumuisha masomo ya Qur’ani Tukufu zimeandaliwa huko Karbala, Iraq.
Habari ID: 3479900 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/15
Harakati ya Qur'ani
IQNA - Raia wa Iran ambaye ni mlemavu wa macho ambaye ameihifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu nzima kwa muda wa miaka miwili amesema kitabu hicho kitakatifu kimempa "amani ya ndani."
Habari ID: 3479898 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14
IQNA - Ismail Ma Jinping alikuwa mwalimu wa Kiarabu nchini China ambaye alitafsiri Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kichina.
Habari ID: 3479897 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14