iqna

IQNA

Harakati za Qur'ani
IQNA – Toleo la 22 la mashindano ya kitaifa ya Qur'ani nchini Mauritania lilihitimishwa kwa hafla wikendi hii.
Habari ID: 3480015    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/07

IQNA - Idara kadhaa za wakfu na masuala ya dini nchini Algeria zinafanya kazi ya kufungua tena shule za Qur'ani na Maktab (vituo vya jadi vya kusoma Qur’ani) wakati wa likizo za majira ya baridi ili kuruhusu wanafunzi kutumia muda huu kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3480014    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/06

IQNA - Wanaharakati wa Kiamazigh wamekaribisha mpango wa Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Morocco wa kutayarisha tarjuma ya Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Kiamazigh. Jitihada za kukuza lugha ya Kiamazigh katika Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ni hatua muhimu na ya maana kuelekea kuamsha utambulisho rasmi wa Kiamazigh, alisema Abdullah Bu Shatart, mwanaharakati.
Habari ID: 3480010    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/06

IQNA - Waziri wa Masuala ya Dini na Wakfu wa Algeria amesisitiza mafanikio ya nchi hiyo katika sekta ya elimu ya Qur’ani.
Habari ID: 3480007    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/05

IQNA - Chuo Kikuu cha Al-Azhar cha Misri kimetangaza shindano la kuhifadhi Qur’ani miongoni mwa wanafunzi wake katika vitivo vya chuo hicho jijini Cairo na maeneo mengine ya nchi hiyo.
Habari ID: 3480006    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/05

IQNA – Mtaalamu aliyehudumu katika jopo la majaji katika sehemu ya maarifa ya Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani amesitiza haja ya kupanga maisha kulingana na mafundisho ya Qur'ani Tukufu na mafundisho mengine ya Kiislamu.
Habari ID: 3480001    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/04

Jinai za Israel
IQNA – Vikosi vya utawala vamizi wa Israel vilizuia wito wa sala kusikika katika Msikiti wa Ibrahim mara 48 mwezi Desemba, Wizara ya Misaada na Masuala ya Kidini Palestina ilifichua jana.
Habari ID: 3479999    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/03

Harakati za Qur'ani
IQNA – Baraza la Wataalamu wa Kiislamu la Kosovo limezindua toleo jipya la tarjuma ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kialbania.
Habari ID: 3479994    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/02

Harakati za Qur'ani
IQNA – Mamlaka ya Jumla kwa Huduma za Masuala ya Msikiti Mkuu wa Makka (Masjid Al Haram) na Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawi) jijini Madina imetangaza uzinduzi vikao maalumu vya  msimu wa baridi vya  kusoma na kuhifadhi Qur'ani katika Msikiti Mkuu wa Makka..
Habari ID: 3479989    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/01

IQNA – Wanaume na wanawake mia tano waliohifadhi Qur’ani Tukufu kutoka mikoa mbalimbali ya Algeria wamekusanyika kufanya Khatm Qur’ani katika kikao kimoja kama sehemu ya mpango wa kitaifa wa Qur’ani. Khatm Qur’ani ni usomaji wa Qur’ani kutoka mwanzo hadi mwisho.
Habari ID: 3479982    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/31

Qur'ani Tukufu
IQNA – Mwambata wa Kitamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Brazil ametangaza uzinduzi wa kozi maalum ya kwanza ya kufundisha usomaji wa Qur'ani katika nchi hiyo ya Amerika ya Kusini.
Habari ID: 3479980    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/31

Muongozo
IQNA – Sheikh Abduh Al-Azhari, mwanazuoni kutoka Chuo Kikuu cha Al-Azhar nchini Misri, ameonyesha wasiwasi juu ya uwepo wa matoleo yaliyopotoka ya Qur'ani yanayopatikana kwenye mtandao au intaneti.
Habari ID: 3479978    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/31

Harakati za Qur'ani
IQNA – Bunge la Iraq linapanga kutunga sheria zinazolenga kulinda haki za wahifadhi wa Qur’ani, kulingana na spika wa bunge.
Habari ID: 3479975    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/30

IQNA – Aplikesheni mpya ya simu nchini India inatoa tafsiri ya Qur'ani kwa lugha ya Kihindi.
Habari ID: 3479973    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/29

Harakati za Qur'ani
IQNA – Sherehe ilifanyika katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, Jumamosi, ili kuwaenzi wahifadhi wengi wa Qur'ani Tukufu. Jumla ya wanaume na wanawake 1,000 walitunukiwa kwenye sherehe kwa ajili ya mafanikio yao ya Qur'ani.
Habari ID: 3479971    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/29

Maisha ya Nabii Isa (AS) katika Qur’ani/3
IQNA – Kama vile watu, wakiwemo Wayahudi, walivyovutiwa na dini ya Nabii Isa (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-) au Yesu, viongozi wa Kiyahudi walipata hofu na wakatafuta msaada wa Mfalme wa Kirumi kumuua Yesu.
Habari ID: 3479969    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/29

IQNA – Wanafunzi zaidi ya 60,000 wa kiume na wa kike wanahudhuria miduara ya kuhifadhi Qur’ani (Halaqat) na masomo mbalimbali ya Kiislamu (Mutun) kila siku katika Msikiti wa Mtume huko Madina.
Habari ID: 3479968    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/28

Maisha ya Nabii Isa (AS) katika Qur’ani/2
IQNA - Isa au Yesu (AS) aliteuliwa na Mwenyezi Mungu kuwaita Wana wa Israili (Bani Israil) kuelekea katika Taudi au kumpwekesha Mwenyezi Mungu, na pia kuwathibitishia kwamba alikuwa nabii kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3479964    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/28

Shughuli za Qur'ani
IQNA – Kituo cha Dar-ul-Quran kinachohusishwa na Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq, kinapanga kuandaa matukio mbalimbali kwenye Siku ya Qur’an Tukufu Duniani.
Habari ID: 3479961    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/27

Harakati za Qur'ani
IQNA – Toleo la 16 la Kongamano la Kimataifa la Watafiti wa Qur’ani Wanawake lilifanyika katika Mnara wa Milad mjini Tehran siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3479960    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/27