Muqawama (Mapambano ya Kiislamu)
IQNA-Khitma kwa ajili ya Mpigana Jihadi Katika Njia ya Allah, Sayyid Azizi wa Umma wa Kiislamu, Shahidi Hujjatul Islam wal Muslimin Sayyid Hassan Nasrallah na wenzake inafanyka katika kwa kaui mbiu ya 'Ijumaa ya Nasr" katika Uwanja wa Sala wa Imam Khomeini jijini Tehran.
Habari ID: 3479531 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/04
Muqawama
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Ansarullah ya Yemen sanjari na kutoa pongezi na mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, amesema Sayyid Hassan Nasrullah alitibua njama za Israel na kuusababishia utawala huo dhalimu vipigo vya fedheha.
Habari ID: 3479530 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/04
Muqawama
IQNA – Qari wa Lebanon ameema moja ya vipaumbele vya Sayyid Hassan Nasrallah, ambaye aliuawa shahidi tarehe 27 Septemba katika hujuma ya kigaidi ya Israel, ilikuwa ni kusoma Qur'an na kuishi kwa mujibu wa mafundisho ya kitabu hicho kitukufu.
Habari ID: 3479529 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/03
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA-Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran ameelezea operesheni ya Jumanne usiku ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu dhidi ya utawala wa Israel kama kulipiza kisasi kwa jinai nyingi za utawala huo.
Habari ID: 3479526 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02
Siasa
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, chimbuko la matatizo ya eneo la Asia Magharibi ni mataifa kama Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya zinazodai kwa uwongo kwamba, zinataka amani na utulivu.
Habari ID: 3479525 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA-Waziri wa Iran wa Mashauri ya Kigeni amesema pambizoni mwa kikao cha leo cha Baraza la Mawaziri kuhusiana na Operesheni Ahadi ya Kweli II kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetumia tu haki yake ya kujihami kihalali kujibu harakati za kigaidi za utawala wa Kizayuni wa Israel ndani ya Iran.
Habari ID: 3479524 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA-Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Katika tangazo nambari mbili, kufuatia Operesheni ya Ahadi ya Kweli II dhidi ya utawala haramu wa Israel ambalo limetekelezwa Jumanne jioni kwa makombora limesema licha ya ukweli kwamba Israel inalindwa na mifumo ya teknolojia ya juu, asilimia 90 ya makombora ya Iran yamelenga shabaha kwa mafanikio, jambo ambalo limepelekea utawala wa Kizayuni uingiwe na hofu kubwa kutokana na uwezo wa kiutendaji wa Jamhuri ya Kiislamu.
Habari ID: 3479522 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA: "Jibu madhubuti limetolewa kwa uchokozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel," Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema.
Habari ID: 3479521 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/01
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA-Kufuatia operesheni ya makombora ya kulipiza kisasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya utawala wa Israel kwa ajili ya kujibu jinai za hivi karibuni za utawala huo wa Kizayuni, makundi ya Muqawama yameeleza rasmi uungaji mkono wake kwa Iran.
Habari ID: 3479520 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/01
Muqawama
IQNA - Khitma imepangwa kufanyika katika mji mkuu wa Iran, Tehran Jumatano kwa ajili ya Katibu Mkuu wa Hizbullah Sayyid Hassan Nasrallah na kamanda mwandamizi wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC Brigedia Jenerali Abbas Nilforoushan.
Habari ID: 3479518 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/01
Muqawama
IQNA - Mauaji ya kiongozi wa Hizbullah hayajadhoofisha kundi hilo la muqawama (mapambano ya Kiislamu) la Lebanon lakini yamezidi kuwa na nguvu zaidi, mkuu wa Intifadha na Kamati ya al-Quds ya Baraza la Uratibu wa Maendeleo ya Kiislamu la Iran amesema.
Habari ID: 3479516 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/30
Muqawama
IQNA - Vyanzo vya habari nchini Lebanon vimethibitisha kuuawa shahidi Sheikh Nabil Qaouk, mjumbe wa baraza kuu la harakati ya Hizbullah na msaidizi wa karibu wa Sayed Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa harakati hiyo.
Habari ID: 3479515 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/30
Muqawama
IQNA - Harakati ya Watu wa Tunisia imesema kuuawa shahidi lilikuwa ni tamanio la thamani zaidi la katibu mkuu wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrallah.
Habari ID: 3479511 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/30
Rambirambi
IQNA – Mfawidhi wa Haram Tukufu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran, amelaani vikali mauaji ya kigaidi yaliyotekelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi Sayed Hassan Nasrallah na kusisitiza kwamba kuuawa shahidi kiongozi wa Hizbullah kutafungua ukurasa mpya katika vita dhidi ya Israel.
Habari ID: 3479509 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/29
Ujumbe wa rambrambi
IQNA - Mufti Mkuu wa Oman ameelezea matumaini kwamba mtu ambaye atachukua nafasi ya Katibu Mkuu wa Hizbullah Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah ataendelea na njia yake.
Habari ID: 3479508 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/29
Rambrambi
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kwa mnasaba wa kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, akisisitiza kuwa: Njia ya mapambano ya Sayyid wa Muqawama itaendelea na mashambulizi ya Kambi ya Muqawama yatakuwa shadidi zaidi kwenye kiwiliwili kilichochakaa na kinachoeleka kuangamia cha utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3479507 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/29
Muqawama
IQNA - Kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon katika hujuma ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni kumeibua hisia kutoka kwa maafisa wa nchi tofauti na shakhsia wa kimataifa.
Habari ID: 3479506 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/29
Taaziya
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuuawa shahidi watu mashuhuri wa Kambi ya Muqawama, akiwemo kiongozi wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrallah, kunaimarisha zaidi mti mwema wa Muqawama na mapambano, na kuongeza kuwa: "Ulimwengu hautasahau kwamba amri ya shambulio hilo la kigaidi imetolewa New York."
Habari ID: 3479503 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/28
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
IQNA- Harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa ikithibitisha kuuawa shahidi katibu mkuu wake, Sayyid Hassan Nasrallah, ambaye aliuawa katika shambulio la kigaidi la utawala haramu wa Israel kwenye viunga vya kusini mwa Beirut siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3479502 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/28
Ujumbe
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesisitiza kuwa, watenda jinai wa Kizayuni wajue kwamba wao si lolote kuweza kuusababishia madhara makubwa muundo imara wa Hizbullah ya Lebanon.
Habari ID: 3479501 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/28