Polisi nchini Nigeria wameendeleza ukatili wa jeshi la nchi hiyo kwa kuwaua Waislamu wanne wa madhehebu ya Shia huku magaidi wa Boko Haram wakiachwa huru kuendeleza mauaji yao.
Habari ID: 3463969 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/16
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitaka serikali ya Nigeria kuwaheshimu viongozi wa kidini na maeneo matakatifu, siku moja baada ya jeshi la nchi hiyo kumkamata kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky, baada ya kutekeleza hujuma nyumbani kwake kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3463095 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/14
Jeshi la Nigeria limemkamata kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky, baada ya kutekeleza hujuma nyumbani kwake kaskazini wa nchi hiyo.
Habari ID: 3462774 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/13
Karibu watu milioni moja wameshiriki katika msafara wa kutembea kwa miguu kutoka mji wa Kaduna hadi Zaria kwa mnasaba wa Arubaini ya Imam Hussein AS katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria.
Habari ID: 3459300 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/01
Kundi la kigaidi Boko Haram limetangaza kuhusika na shambulio dhidi ya msafara wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia waliokuwa katika msafara wa maombolezo ya Imam Hussein AS jimbo la Kaduna nchini Nigeria.
Habari ID: 3458202 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/29
Waislamu 21 wa madhehebu ya Shia wameuawa shahidi katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria baada ya gaidi moja kujiripua kwenye msafara wa Waislamu hao Ijumaa hii.
Habari ID: 3457492 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/27
Chuo Kikuu cha Jimbo la Yobe Kaskazini Mashariki mwa Nigeria kimehuisha kitengo cha utafiti wa Qur'ani kwa lengo la kuimarisha masomo ya Kiislamu.
Habari ID: 3457056 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/25
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei kabla ya adhuhuri ya leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria aliyeko safarini hapa nchini.
Habari ID: 3456282 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/23
Warsha ya kuhusu kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS imefanyika Bauchi nchini Nigeria.
Habari ID: 3454535 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/19
Hujuma mbili za kigaidi zilizolenga misikiti kaskazini mashariki mwa Nigeria zimepelekea watu wasiopungua 55 waliuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa.
Habari ID: 3393551 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25
Wananchi wengi wa Kaduna nchini Nigeria wanaendelea kujitokeza kwa wingi katika maombolezo ya mashahidi wa Karbala.
Habari ID: 3392936 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/23
Hujaji M nigeria ametunukiwa zawadi baada ya kurejesha takribani US$ 2,345 alizozipata katika mfuko wa Muafghani uliokuwa ummeanguka Katika Masjidul Haram mjini Makka.
Habari ID: 3379333 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/04
UNICEF
Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa idadi ya watoto waliolazimika kuyahama makaazi yao kutokana na mashambulio ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram ndani ya Nigeria na katika nchi jirani imefikia milioni moja na laki nne
Habari ID: 3365086 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/19
Maonyesho ya Sanaa za Kiislamu yenye anuani ya 'Mbegu ya Amani' yanafanyia Lagos nchini Nigeria katika Jumba la Makumbusho ya Kitaifa.
Habari ID: 3357526 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/02
Magaidi wa Boko Haram hawawezi hata kusoma Qur'ani Tukufu wala kutekeleza maundisho ya dini ambayo wanadai kupigania wanapotekeleza jinai zao, amesema afisa mwandamizi wa jeshi la Nigeria.
Habari ID: 3355686 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/31
Waislamu wasiopungua 108,000 walipoteza maisha kutokana na maafa na vita katika nchi za Kiislamu na nchi ambazo Waislamu ni wachache kote duniani mwaka 2014.
Habari ID: 3345845 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/18
Kasisi mmoja nchini Nigeria ametamka shahada mbili na kuwa mfuasi wa dini Tukufu ya Kiislamu na baada ya hapo akaligeuza kanisa lake kuwa msikiti.
Habari ID: 3339749 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07
Taasisi ya juu zaidi ya Waislamu Nigeria, Jama'atu Nasril Islam, JNI, imetangaza kupinga vikali takwa la kupigwa marufuku hijabu nchini humo baada ya baadhi ya magaidi kutumia vazi hilo la stara la kufunika mabomu wanayosheheni mwilini.
Habari ID: 3328801 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/16
Zaidi ya Waislamu 150 wameuawa katika mashambulio ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria.
Habari ID: 3322598 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/03
Katika jitihada za kueneza mafundisho halisi ya Kiislamu, jumuiya moja ya Kiislamu nchini Nigeria imeanzisha stesheni mpya za televisheni na radio katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
Habari ID: 3313357 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/12