imam khamenei - Ukurasa 5

IQNA

IQNA —Chama cha Wanazuoni wa Yemen kimesema kuwa kuisaidia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pamoja na Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ni wajibu wa kidini (wajib).
Habari ID: 3482019   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/06

IQNA — Wakati mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yakiendelea, Mufti Mkuu wa Libya ametangaza kuunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3482017   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/06

IQNA-Naibu Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amesema kuwa hujuma ya kijeshi yaliyotumika na Marekani na Israel dhidi ya Iran inakiuka Kanuni za Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3482015   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/05

IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika ujumbe wake kwa viongozi wa nchi rafiki na majirani kwamba mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel yameiacha Iran bila chaguo lolote isipokuwa kujilinda.
Habari ID: 3482014   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/05

IQNA – Kiongozi Mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Sayyid Ali al-Sistani, amekemea kwa nguvu hujuma ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran, ambayo ilianza Jumamosi na hadi sasa imesababisha mamia kufa shahidi, wakiwemo watoto.
Habari ID: 3482013   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/04

IQNA– Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuuawa shahidi Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
Habari ID: 3482012   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/04

IQNA – Watu walifanya maandamano katika maeneo mbalimbali ya Bahrain, wakionyesha mshikamano wao na Iran na kutaka kulipiza kisasi kwa mauaji ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Ayatullah Seyed Ali Khamenei (Mwenyezi Mungu Amrehemu).
Habari ID: 3482011   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/03

IQNA – Mwanazuoni mmoja wa Misri amempongeza Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyeuawa shahidi, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, na kusisitiza kwamba njia yake lazima iendelezwe na Umma ya Waislamu.
Habari ID: 3482010   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/03

Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Raji’un.
IQNA-Kufuatia shambulio la kikatili la utawala wa Kizayuni na Marekani, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameuawa shahidi.
Habari ID: 3482006   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/01

IQNA-Kiongozi mkuu wa Kishia nchini Bahrain amesema katika hotuba kwamba mamilioni ya Wairani wanasimama kidete kulinda uhuru na usalama wa nchi yao kupitia kumuunga mkono Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3481859   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/28

IQNA-Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa: "Imam Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni Faqihi Mtawala wetu na sisi hatutabaki kuwa watazamaji mbele ya uchokozi wowote utakaofanywa dhidi ya Iran".
Habari ID: 3481853   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/27

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Marekani acheza densi na kinara wa ukoo kisha akosoa uchaguzi wa Wairani milioni 40
Habari ID: 3471009   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/05