IQNA-Rais wa Russia, Vladimir Putin, amefanya mazungumzo ya simu na Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian kuhusu matukio ya hivi karibuni katika eneo, ambapo Rais wa Iran amesisitiza kuwa: “ Njia yetu ni kujihami kwa nguvu ili kulinda mipaka yetu na kuleta amani endelevu.
Habari ID: 3482022 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/07
IQNA – Katika siku za karibuni, Wairani katika miji mbalimbali, ikiwemo Ahvaz kusini-magharibi mwa nchi, wamefanya mikutano ya hadhara kulaani uchokozi wa Marekani na Israel, na kuelezea uungaji mkono wao kwa operesheni ya kijeshi ya kulipiza kisasi ya Iran, inayojulikana kama Operesheni ya Ahadi ya Kweli 4.
Habari ID: 3482021 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/06
Uchambuzi wa Mapambano Dhidi ya Uzayuni katika Qur’ani/1
IQNA-Qur’ani Tukufu, pamoja na kuonyesha takwimu na uchambuzi wa mambo kwa mtazamo wa kidunia, pia inatuwekea mbele mtazamo mwingine wa kutafakari kuhusu mapambano.
Habari ID: 3482020 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/06
IQNA —Chama cha Wanazuoni wa Yemen kimesema kuwa kuisaidia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pamoja na Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ni wajibu wa kidini (wajib).
Habari ID: 3482019 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/06
IQNA — Wakati mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yakiendelea, Mufti Mkuu wa Libya ametangaza kuunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3482017 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/06
IQNA-Naibu Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amesema kuwa hujuma ya kijeshi yaliyotumika na Marekani na Israel dhidi ya Iran inakiuka Kanuni za Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3482015 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/05
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika ujumbe wake kwa viongozi wa nchi rafiki na majirani kwamba mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel yameiacha Iran bila chaguo lolote isipokuwa kujilinda.
Habari ID: 3482014 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/05
IQNA – Kiongozi Mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Sayyid Ali al-Sistani, amekemea kwa nguvu hujuma ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran, ambayo ilianza Jumamosi na hadi sasa imesababisha mamia kufa shahidi, wakiwemo watoto.
Habari ID: 3482013 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/04
IQNA– Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuuawa shahidi Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
Habari ID: 3482012 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/04
IQNA – Watu walifanya maandamano katika maeneo mbalimbali ya Bahrain, wakionyesha mshikamano wao na Iran na kutaka kulipiza kisasi kwa mauaji ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Ayatullah Seyed Ali Khamenei (Mwenyezi Mungu Amrehemu).
Habari ID: 3482011 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/03
IQNA – Mwanazuoni mmoja wa Misri amempongeza Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyeuawa shahidi, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, na kusisitiza kwamba njia yake lazima iendelezwe na Umma ya Waislamu.
Habari ID: 3482010 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/03
Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Raji’un.
IQNA-Kufuatia shambulio la kikatili la utawala wa Kizayuni na Marekani, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameuawa shahidi.
Habari ID: 3482006 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/01
IQNA-Kiongozi mkuu wa Kishia nchini Bahrain amesema katika hotuba kwamba mamilioni ya Wairani wanasimama kidete kulinda uhuru na usalama wa nchi yao kupitia kumuunga mkono Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3481859 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/28
IQNA-Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa: "Imam Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni Faqihi Mtawala wetu na sisi hatutabaki kuwa watazamaji mbele ya uchokozi wowote utakaofanywa dhidi ya Iran".
Habari ID: 3481853 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/27
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Marekani acheza densi na kinara wa ukoo kisha akosoa uchaguzi wa Wairani milioni 40
Habari ID: 3471009 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/05