Musa Motamedi hafidh wa Qur’ani kutoka Iran ameshika nafasi ya kwanza katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
Habari ID: 3384686 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/12
Sayyid Hassan Nasrallah
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya amekosoa kimya cha jamii ya kimataifa mbele ya jinai na ukatili unaoendelea kufanywa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen na kusema kuwa taifa la Yemen litapambana hadi kupata ushindi.
Habari ID: 3383363 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/09
Magaidi wa kundi la ISIS au Daesh wameshambulia kwa bomu Masjid Nur jana Jumanne katika mtaa wal al-Nahda katika mji mkuu wa Yemen, Sana’a ambapo watu saba wamepoteza maisha.
Habari ID: 3382986 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/07
Watoto wapatao 505 wameuawa nchini Yemen kufuatia hujuma za ndege za kivita za Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo masikini zaidi katika ulimwengu wa Kiarabu.
Habari ID: 3377979 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/03
Waislamu 25 wa madhehebu ya Shia wameuawa shahidi na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a baada ya bomu kulipuka ndani ya msikiti wakati wa Swala ya Idul-Adh’ha mapema leo asubuhi.
Habari ID: 3367085 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24
Kiongozi wa Ansarullah
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen ameashiria hatua ya Saudi Arabia ya kuwazuia mahujaji kutoka Yemen kushiriki katika ibada ya Hija na kusema, ‘Makka si milki ya Aal Saudi iwazuie mahujaji wa Yemen.’
Habari ID: 3365868 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/21
Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa, migogoro ya Syria na Yemen inaweza kupatiwa ufumbuzi kupitia njia za kidiplomasia.
Habari ID: 3353725 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/29
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran ameelezea masikitiko yake kuhusu kimya cha Umoja wa Mataifa na taasisi zingine za kimataifa kuhusu mauaji yanayoendelea dhidi ya watu wasio na hatia nchini Yemen.
Habari ID: 3353340 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/29
Saudi Arabia imeendeleza mashambulizi yake ya kikatili kote Yemen huku Umoja wa Mataifa ukitoa wito wa kusitishwa mapigano katika nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3342924 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/14
Abdul-Malik al-Houthi
Kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen Abdul-Malik al-Houthi amesema adui wa wananchi wa Yemen mwishowe atashindwa tu. Aidha ameongeza kuwa utawala haramu wa Israel unafaidika na hujuma ya Saudia dhidi ya watu wa Yemen.
Habari ID: 3338217 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/03
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema mwamko wa Waislamu ni nukta muhimu katika mustakabali wa Masharik ya Kati.
Habari ID: 3332314 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/23
Watu wasiopungua watano wamepoteza maisha na wengine saba kujeruhiwa katika hujuma ya bomu karibu na Msikiti wa Mashia katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a.
Habari ID: 3331848 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/21
Shirika la Afya Duniani WHO limeonya kuhusu hali mbaya ya kibinadmau nchini Yemen na kusema na kusema mkoa wa Aden unakabiliwa na hali maafa ya kiafya.
Habari ID: 3328804 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/16
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema Iran ndio nchi pekee inayounga mkono ukombozi wa ardhi zote za Palestina na Quds Tukufu.
Habari ID: 3326617 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah
Abdulmalik Houthi Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Saudia imegueka na kuwa chombo cha Israel katika hujuma dhidi ya Wa yemen .
Habari ID: 3326612 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11
Ali Larijani
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, Ali Larijani amesema lengo kuu la nchi za Magharibi ni kuangamiza Uislamu na njama hiyo ilianzishwa Palestina.
Habari ID: 3326323 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya udharura wa kutumiwa vyema sanaa ya mashairi kwa ajili ya kutoa miongozo kwa walengwa.
Habari ID: 3322405 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/02
Magaidi wa kundi al Qaida wamemuua imam mmoja wa Yemen anayefahamika kwa kupinga mashambulizi ya umwagaji damu yaliyoanzishwa na Saudia katika ardhi ya Yemen mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu.
Habari ID: 3316631 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/21
Ripoti Maalumu ya IQNA
Sambamba na kuanza hujuma ya hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia nchini Yemen, kumeshuhudiwa kuongezeka kwa kasi chuki dhidi ya Ushia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran barani Afrika.
Habari ID: 3315877 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/18
Makumi ya watu wameuawa katika mwendelezo wa mashambulizi ya kichokozi ya Saudi Arabia na waitifaki wake nchini Yemen.
Habari ID: 3313339 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/12