Harakati za Qur'ani
IQNA - Sekretarieti ya Idara ya Wakfu ya Kuwait imetangaza majina ya washindi wa Mashindano ya 27 ya Kitaifa ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani nchini humo
Habari ID: 3479927 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/20
Harakati za Qur'ani
IQNA – Qari wa ngazi za juu wa kike wa Qur’ani nchini Iran amesema mazingira ya kuunga mkono na ya kutia moyo yanayotolewa na wazazi yana jukumu muhimu katika kukuza talanta za Qur’ani kwa watoto.
Habari ID: 3479918 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/18
Harakati za Qur'ani
IQNA - Mhifadhi wa Qur'ani wa Misri aliyefariki katika ajali ya gari wiki iliyopita ni miongoni mwa washindi katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Port Said.
Habari ID: 3479917 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/18
Fikra
IQNA – Tarjuma ya Qur’ani Tukufu ni muhimu katika kufahamu maandishi ya Mwenyezi Mungu lakini haitoshi, anasema profesa mashuhuri wa lugha ya Kiarabu.
Habari ID: 3479916 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/18
Utamaduni wa Qur'ani
IQNA – Mbunge mmoja nchini Iran amesema kutekeleza mafundisho ya Sunnah za Qur'ani (sharia) kumewapa Wairani roho ya kusimama dhidi ya madola yenye kiburi na ya kibeberu.
Habari ID: 3479911 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/17
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mshindi Qiraa ya Qur’ani katika kategoria ya wanawake katika Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran amesema yeye hufanya mazoezi ya qiraa na kusoma tafsir kila usiku pamoja na familia yake.
Habari ID: 3479904 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/15
Harakati za Qur'ani
IQNA -Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu nchini Misri limetangaza kuachiliwa kwa usomaji nadra wa Qur'ani kutoka enzi ya dhahabu ya sanaa ya Qur'ani ya Misri kwenye kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3479901 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/15
Harakati za Qur'ani
IQNA - Kozi tatu za kimataifa za mtandaoni zinazojumuisha masomo ya Qur’ani Tukufu zimeandaliwa huko Karbala, Iraq.
Habari ID: 3479900 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/15
Harakati ya Qur'ani
IQNA - Raia wa Iran ambaye ni mlemavu wa macho ambaye ameihifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu nzima kwa muda wa miaka miwili amesema kitabu hicho kitakatifu kimempa "amani ya ndani."
Habari ID: 3479898 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14
IQNA - Ismail Ma Jinping alikuwa mwalimu wa Kiarabu nchini China ambaye alitafsiri Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kichina.
Habari ID: 3479897 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14
Harakati za Qur'ani
IQNA – Binti Muirani aliyehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu amesema kwamba katika kujifunza Quran kwa moyo, talanta au kipaji ni muhimu lakini muhimu zaidi ni uvumilivu na ustahamilivu.
Habari ID: 3479890 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/10
Qur'ani Tukufu
IQNA - Nakala za Qur'ani iliyoandkwa kwa maandishi ya mtindo wa kaligrafia ya Uthman Taha itachapishw nchini Iraq kwa mara ya kwanza.
Habari ID: 3479886 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/10
IQNA - Washindi wakuu wa toleo la 32 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos nchini Oman wametajwa.
Habari ID: 3479882 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09
IQNA - Qari kijana ambaye anashiriki katika toleo la 47 la Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran amesema mafanikio yake ya Qur'ani ni baraka kutoka kwa Allah (SWT).
Habari ID: 3479880 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mhifadhi wa Qur'ani wa kike amesema Qur'ani imemjengea subira na ustahimilivu katika kukabiliana na changamoto mbalimbali.
Habari ID: 3479877 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/08
Diplomasia ya Qurani
IQNA-Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa uamuzi wake wa kuanzisha Akademia ya Qur'ani jijini Dar al-Nur na kuahidi kutoa ushirikiano unaohitajika katika uwanja huo.
Habari ID: 3479865 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/06
Ahlul Bayt (AS)
IQNA – Wafasiri wa Qur’ani wanaamini kwamba aya 130 za Qur’ani Tukufu zinamhusu Bibi Fatima (SA) na familia yake, mwanachuoni wa Kiislamu amesema.
Habari ID: 3479863 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/06
Qur'ani Tukufu
IQNA - Marwan Abdul Ghani ni mvulana wa Misri ambaye ana tawahudi lakini ameweza kusoma na kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479856 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/05
Harakati za Qur'ani
IQNA – Hafidh wa Qur'ani ambaye pia ni mwanazuoni wa Kiislamu ametaja sifa nyingi ambazo anaamini ni muhimu kwa qari kuwa nazo kwa ajili ya usomaji wenye taathira.
Habari ID: 3479852 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/04
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Misri yatang'oa nanga katika mji mkuu Cairo wikendi hii.
Habari ID: 3479848 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/03