iran - Ukurasa 84

IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanapaswa kutafuta radhi za Allah SWT sambamba na kulinda Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 1444000   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/28

Ali Larijani
Ali Larijani Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge amesema , leo taifa la Iran linafakhari kuwa, kwa uwezo wake wote limeweza kulisaidia taifa la Palestina katika kipindi chake kigumu zaidi.
Habari ID: 1443997   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/28

Mtaalamu mwashuhuri wa Qur'ani kutoka Misri amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu ni hatua muhimu katika umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 1442398   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/24

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitaka jamii ya kimataifa na hususan mashirika ya misaada ya kibinadamu kuushinikiza utawala wa Kizayuni uache kuuzingira Ukanda wa Ghaza na uruhusu misaada ya kibinadamu iwafikie wakazi wa ukanda huo uliozingirwa kila upande.
Habari ID: 1440685   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/18

Imam Khamenei
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwamba, ulimwengu wa Kiislamu unapasa kuipatia kipaumbele kikubwa kadhia ya Ghaza.
Habari ID: 1434649   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/29

Baadhi ya Waislamu katika nchi za Iraq, Uturuki, Qatar, Misri, Saudi Arabia na Bahrain leo wanasherehekea sikukuu ya Idul Fitr baada ya kutangazwa rasmi mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani katika nchi hizo.
Habari ID: 1434339   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/28

Leo inasadifiana na Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ambayo ni Siku ya Kimataifa ya Quds. Hii ni siku ya kupata nguvu upya taifa madhulumu la Palestina na ni siku ambayo inaunganisha nguvu za umma mzima wa Waislamu na kila mpenda haki duniani katika kupambana na utawala wa kibaguzi wa Kizayuni.
Habari ID: 1433171   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/25

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema Marekani na Uingereza zinaunga mkono hujuma inayoendelea ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 1428809   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/13

Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema matatizo wanayokumbana nayo Waislamu hivi sasa ni matokeo ya kutoyazingatia mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 1428807   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/13

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, vyombo vya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa vinalengwa na madola ya kibeberu ya Magharibi na hasa Marekani.
Habari ID: 1427548   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/08

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa la Waislamu la Iraq litafanikiwa kuwarudisha nyuma magaidi na waungaji mkono wao kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu na kwamba Jamhuri ya Kiislamu itafanya kila iwezalo kulinda maeneo matakatifu nchini Iraq.
Habari ID: 1420250   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/19

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, silaha za nyuklia zinapingana kikamilifu na ubinadamu.
Habari ID: 1415874   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/09

Rais Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kufuatwa njia na nyayo za Imam Khomeini MA ni fahari kubwa kwa Waislamu.
Habari ID: 1414308   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/03

Ayatullah Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumatatu asubuhi mjini Tehran alionana na Sheikh Sabah al Ahmad al Jabir as Sabah, Amir wa Kuwait na ujumbe alioandamana nao na kusema kuwa, eneo la Ghuba ya Uajemi na usalama wake ni suala muhimu mno.
Habari ID: 1414303   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/03

Mashindano ya ۳۱ ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yamemalizika leo Jumatatu hapa Tehran bada kuendelea kwa muda wa wiki moja.
Habari ID: 1413796   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/02

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema, umoja na kuundwa umma ulio shikamana ni hitajio la dharura katika Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 1411477   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/27

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Marekani imeshindwa katika ndoto yake ya kubadilisha mfumo wa dunia.
Habari ID: 1411335   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/26

Rais Rouhani
Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itapata ushindi katika kuyakabili na hatimaye kuyaondoa mashinikizo dhidi ya miradi yake ya nishati ya nyuklia.
Habari ID: 1411319   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/26

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, iwapo taifa la Iran litajikita katika kuimarisha uwezo wa ndani ya nchi, basi Marekani na madola mengine makubwa hayawezi kuthubutu kufanya chochote dhidi ya nchi hii.
Habari ID: 1406967   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/14

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, ni upumbavu wa mwisho wa adui kudhani kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itawekea mipaka na kikomo mipango yake ya makombora.
Habari ID: 1406354   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/12