IQNA - Safari ya leo ni katika mkutano na Rais wa Baraza la Utawala la Hamas, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ambapo aliheshimu mashahidi wa Gaza pamoja na makamanda wa mashahidi, hasa shahidi Isma'il Haniyyah, akizungumza na viongozi wa Hamas na kusema: 'Mmefanikiwa kuondoa serikali ya Wazayuni, na kwa kweli, kwa ridhaa ya Mwenyezi Mungu, Marekani haikuruhusu kutimiza malengo yao.
Habari ID: 3480183 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/09
Muqawama
IQNA - Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya utawala katili wa Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, yameanza kutekelezwa huku siku 471 za mauaji ya kimbari ya Israel yakipelekea zaidi ya Wapalestina 46,800 kuuawa huko Gaza.
Habari ID: 3480076 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/19
Muqawama
IQNA – Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran amesema kuwa utawala wa Kizayuni umelazimika kusitisha mapigano na Harakati ya Kiislamu ya Ukombozi wa Palestina, Hamas, huko kwa sababu ya udhaifu na kukata tamaa. Hii ni moja ya heshima za mstari wa mbele wa upinzani, alisema Hujjatul-Islam Gholam Hossein Mohseni Ejei, akihutubia mkutano wa 13 wa "Gaza; Alama ya Muqawama" jijini Tehran.
Habari ID: 3480073 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/18
Kadhia ya Palestina
IQNA-Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema kuwa, kulazimika utawala wa Kizayuni kukubali kusimamisha vita na kukomesha mauaji yake ya kimbari dhidi ya wananchi wa Ghaza, ni matunda ya Muqawama (mapambano ya Kiislamu) na kusimama imara wananchi wa ukanda huo kwa zaidi ya miezi 15.
Habari ID: 3480062 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/16
Diplomasia ya Muqawama
IQNA – Msimamo wa Yemen katika mhimili wa muqawama unatokana na msingi wa Imani, Qur'an Tukufu na mwongozo wa Mwenyezi Mungu, amesema balozi wa nchi hiyo nchini Iran.
Habari ID: 3480032 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/11
Muqawama
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen ametoa heshima kwa kamanda mkuu wa zamani wa kupambana na ugaidi wa Iran, shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, akisema alikuwa na nafasi ya kipekee katika kuwaunga mkono watu wa Palestina na muqawama wao.
Habari ID: 3479997 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/03
Muqawama
IQNA – Katika ulimwengu wa Kiarabu, ni Yemen pekee ambayo imesimama thabiti dhidi ya utawala wa Kizayuni na kwa mshikamano na Gaza na Palestina.
Habari ID: 3479972 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/29
Muqawama
IQNA-Kiongozi wa Harakati za Ansarullah yaYemen amezungumzia uhalifu wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kwamba kile kinachofanywa na adui wa Kizayuni ni mauaji ya kimbari.
Habari ID: 3479962 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/27
Jinai za Israel
IQNA-Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya utawala wa Kizayuni wa Israel imemwita balozi wa Vatican katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa ajili ya kusailiwa. Ni baada ya Papa Francis, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani kukosoa vita na mauaji yanaytekelezwa na utawala katili wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479957 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/26
Muqawa
IQNA-Zaidi ya walowezi haramu milioni moja wamekimbilia katika mahandaki huku wakiwa na hofu na wahka mkubwa baada ya kombora lililorushwa kutoka upande wa Yemen kutua katika eneo kubwa zaidi la mji wa Tel Aviv katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandi la Israel.
Habari ID: 3479920 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/19
Jinai za Israel
IQNA-Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa wingi mkubwa wa kura maazimio mawili, moja la kutaka kusitishwa kwa mapigano mara moja katika Ukanda wa Ghaza na la pili la kuutaka utawala wa Kizayuni wa Israel uondoe marufuku yake kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi wa Palestina, UNRWA.
Habari ID: 3479893 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/12
Kadhia ya Palestina
IQNA--Kwa mwaka wa pili mfululizo Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Wananchi wa Palestina imeadhimishwa huku Gaza ikiendelea kuwa chini ya hujuma kubwa ya mashambulizi ya utawala wa Kizayuni sambamba na kuenezwa propaganda na taarifa ghushi za utawala huo
Habari ID: 3479829 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/30
IQNA - Kuna mashirika mengi ya kutoa misaada ya Kiislamu nchini Marekani yanayojaribu kupeleka misaada Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wanaokumbwa na vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na Israel, lakini wanakabiliwa na vikwazo na ubaguzi mbalimbali.
Habari ID: 3479828 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/30
Jinai za Israel
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa wito wa kuhukumiwa kifo Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ambaye waranti ya kukamatwa kwake imetolewa na Mahakama ya kimataifa ya Uhalifu (ICC) huku utawala huo ukiendeleza mauaji ya kimbari ya utawala huo ghasibu huko Gaza na nchini Lebanon.
Habari ID: 3479809 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/25
Jinai za Israel
IQNA - Kundi la waandamanaji wanaouunga mkono utawala haramu wa Israel walimnyanyasa na kukandamiza Mbunge wa Uingereza Jeremy Corbyn nje ya ukumbi wa mkutano ambapo mkutano wa kupinga ubaguzi wa rangi ulikuwa unafanyika.
Habari ID: 3479762 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/17
Diplomasia
IQNA - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema utawala wa Marekani unaomaliza muda wake unatarajiwa kutumia muda uliobakia madarakani kukomesha hujuma za Israel huko Gaza na Lebanon.
Habari ID: 3479738 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/11
Kadhia ya Palestina
IQNA - Chuo Kikuu cha Hashemite cha Jordan kimeshutumiwa kwa kuwakandamiza wanafunzi wanaoiunga mkono Palestina.
Habari ID: 3479720 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08
Diplomasia
IQNA – Shekhe mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amepongeza misimamo ya Estonia dhidi ya utawala wa Israel.
Habari ID: 3479719 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08
Watetezi wa Palestina
IQNA-Mechi kati ya Paris Saint-Germain na Atletico Madrid katika Ligi ya Soka ya Mabingwa wa Ulaya- UEFA- ilikuwa uwanja wa harakati za kuunga mkono Palestina Jumatano usiku.
Habari ID: 3479713 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/07
Siasa
IQNA - Mwenyekiti wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu la Iran ameilaani Marekani kwa kutoa uungaji mkono wa kila namna kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika hujuma zake za mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3479706 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05