Siku ya Msikiti
IQNA - Siku ya Misikiti Duniani mwaka huu itaangazia jinai za Israel na masaibu ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa, afisa mmoja anasema.
Habari ID: 3479297 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/18
Muqawama
IQNA - Kiongozi wa harakati ya muqawama ya Ansarullah ya Yemen amelaani kuendelea kwa jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Ghaza na ukimya na kutochukua hatua kwa baadhi ya nchi za Kiarabu.
Habari ID: 3479284 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/16
Jinai za Israel
IQNA - Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imesema wote waliouawa katika shambulio la bomu la Israel katika shule moja katika mji wa Gaza walikuwa raia.
Habari ID: 3479263 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/11
Jinai Israel
IQNA - Jeshi la Israel lilifanya mashambulizi ya anga dhidi ya shule moja katikati mwa Mji wa Gaza wakati Wapalestina waliokimbia makazi yao walipokuwa wakiswali alfajiri, na kuua takriban watu 100.
Habari ID: 3479256 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/10
Kadhia ya Palestina
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza ushujaa wa wananchi wanaodhulumiwa na wenye nguvu wa Ghaza na kusema: Leo bendera ya juu kabisa ya Uislamu iko mikononi mwa watu wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479202 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/30
IQNA-Kongresi ya Marekani imekosolewa sana kwa kumpa Waziri Mkuu wa Israel, katili Benjamin Netanyahu, jukwaa la kuhutubia wawakilishi na maseneta wa nchi hiyo licha ya kiongozi huyo kutambuliwa kuwa ni mhalifu wa kivita na mtenda jinai dhidi ya binanadamu kutokana na mauaji ya kimbari yanayoendelea huko Gaza.
Habari ID: 3479180 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/25
Kadhia ya Palestina
Wanaharakati wa kitamaduni na wasanii wa nchi za Magharibi wamekabiliwa na matatizo baada ya kueleza mshikamano wao na Gaza na kuchukua misimamo dhidi ya vita vya mauaji ya kimbari ya Israel.
Habari ID: 3479065 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/04
Jinai za Israel
IQNA - Maafisa wa Palestina na makundi ya muqawama wamekaribisha uamuzi wa Umoja wa Mataifa wa kuuongeza utawala wa Israel kwenye 'Orodha ya Aibu' kwa kuua watoto katika vita vya Gaza.
Habari ID: 3478950 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/08
Jinai za Israel
IQNA - Mufti katika jumuiya ya Kiislamu ya Serbia anasema kukabiliana na jinai zinazoendelea za Israel huko Gaza ni jukumu la wanadamu wote.
Habari ID: 3478934 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/05
Muqawama
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuhusu mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Rafah kusini mwa Ukanda wa Ghaza kwamba, jinai hiyo ya kutisha uliyofanya utawala huo ghasibu inapasa iwaamshe na kuwatoa kwenye usingizi wa mghafala watu waliojisahau duniani na walioshindwa kuwa na msimamo.
Habari ID: 3478901 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/29
Jinai za Israel
IQNA-Rais wa Venezuela amezilaani Marekani na Umoja wa Ulaya kwa kutofanya lolote kukomesha mauaji "ya kutisha" na ya Kinazi ya Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3478899 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/29
Watetezi wa Palestina
IQNA - Mjukuu wa mwanasiasa shujaa aliyepinga ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini Nelson Mandela amesisitiza kwamba mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina yanayotekelezwa na Israel hayakuanza Oktoba 7, 2023 baada ya Operesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa.
Habari ID: 3478898 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/28
Jinai za Israel
IQNA - Jumla ya misikiti 604 imeharibiwa kabisa katika Ukanda wa Gaza hadi sasa kutokana na mashambulizi ya utawala wa Israel katika maeneo ya makazi na yasiyo ya kijeshi.
Habari ID: 3478843 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/18
Jinai za Israel
IQNA-Afrika Kusini imeitaka Mahakama Kuu ya Umoja wa Mataifa iamuru kusitishwa uvamizi wa kijeshi dhidi ya Rafah kama sehemu ya kesi yake iliyofungua mjini The Hague inayoushutumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mauaji ya kimbari, ikisema utawala huo "lazima uzuiwe" ili kunusuru maisha ya Wapalestina.
Habari ID: 3478840 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/17
Jinai za Israel
IQNA-Zaidi ya watoto 15,000 wanaripotiwa kuuawa shahidi na jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
Habari ID: 3478832 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/16
Ukombozi wa Palestina
IQNA-Ismail Haniyah, Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amesema bila shaka utawala wa Kizayuni wa Israel hatimaye utaondolewa katika maeneo yote ya Wapalestina.
Habari ID: 3478831 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/16
Palestina
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema adui leo anataka kuongoza maoni ya umma ya mataifa juu ya suala la Gaza, kwa himaya ya vyombo vya habari, habari za uongo, simulizi zisizo za kweli, na upotoshaji wa ukweli, akisisitiza umuhimu wa nafasi na wajibu wa waandishi na wana utamaduni katika kukabiliana na njama hii.
Habari ID: 3478830 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/16
Watetezi wa Palestina
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimekaribisha uungwaji mkono wa nchi hiyo kwa hatua za kisheria zilizochukuliwa na Afrika Kusini dhidi ya utawala haramu Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
Habari ID: 3478819 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/14
Jinai za Israel
IQNA - Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amesema zile siku za utawala wa Israel kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina bila kuadhibiwa zimefika ukingoni.
Habari ID: 3478802 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/10
Jinai za Isarel
Mkuu wa timu ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) ametahadharisha kuwa mazingira ya kuidhaminia Gaza maji safi, chakula na dawa za matibabu yamefika marhala hatari na kwamba hatua ya kukifunga kivuko cha Rafah kunaifanya hali ya wakazi wa ukanda huo kuwa mbaya zaidi.
Habari ID: 3478796 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/09