iqna

IQNA

Jinai za Israel
IQNA-Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa wingi mkubwa wa kura maazimio mawili, moja la kutaka kusitishwa kwa mapigano mara moja katika Ukanda wa Ghaza na la pili la kuutaka utawala wa Kizayuni wa Israel uondoe marufuku yake kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi wa Palestina, UNRWA.
Habari ID: 3479893    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/12

Kadhia ya Palestina
IQNA--Kwa mwaka wa pili mfululizo Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Wananchi wa Palestina imeadhimishwa huku Gaza ikiendelea kuwa chini ya hujuma kubwa ya mashambulizi ya utawala wa Kizayuni sambamba na kuenezwa propaganda na taarifa ghushi za utawala huo
Habari ID: 3479829    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/30

IQNA - Kuna mashirika mengi ya kutoa misaada ya Kiislamu nchini Marekani yanayojaribu kupeleka misaada Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wanaokumbwa na vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na Israel, lakini wanakabiliwa na vikwazo na ubaguzi mbalimbali.
Habari ID: 3479828    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/30

Jinai za Israel
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa wito wa kuhukumiwa kifo Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ambaye waranti ya kukamatwa kwake imetolewa na Mahakama ya kimataifa ya Uhalifu (ICC) huku utawala huo ukiendeleza mauaji ya kimbari ya utawala huo ghasibu huko Gaza na nchini Lebanon.
Habari ID: 3479809    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/25

Jinai za Israel
IQNA - Kundi la waandamanaji wanaouunga mkono utawala haramu wa Israel walimnyanyasa na kukandamiza Mbunge wa Uingereza Jeremy Corbyn nje ya ukumbi wa mkutano ambapo mkutano wa kupinga ubaguzi wa rangi ulikuwa unafanyika.
Habari ID: 3479762    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/17

Diplomasia
IQNA - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema utawala wa Marekani unaomaliza muda wake unatarajiwa kutumia muda uliobakia madarakani kukomesha hujuma za Israel huko Gaza na Lebanon.
Habari ID: 3479738    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/11

Kadhia ya Palestina
IQNA - Chuo Kikuu cha Hashemite cha Jordan kimeshutumiwa kwa kuwakandamiza wanafunzi wanaoiunga mkono Palestina.
Habari ID: 3479720    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08

Diplomasia
IQNA – Shekhe mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amepongeza misimamo ya Estonia dhidi ya utawala wa Israel.
Habari ID: 3479719    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08

Watetezi wa Palestina
IQNA-Mechi kati ya Paris Saint-Germain na Atletico Madrid katika Ligi ya Soka ya Mabingwa wa Ulaya- UEFA- ilikuwa uwanja wa harakati za kuunga mkono Palestina Jumatano usiku.
Habari ID: 3479713    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/07

Siasa
IQNA - Mwenyekiti wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu la Iran ameilaani Marekani kwa kutoa uungaji mkono wa kila namna kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika hujuma zake za mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3479706    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05

Jinai za Israel
IQNA-Marja' wa ngazi ya juu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq ameeleza masikitiko yake kuhusu kushindwa jamii ya kimataifa na taasisi husika katika kuzuia jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina na Lebanon.
Habari ID: 3479703    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05

IQNA - Imamu mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesikitishwa na ukosefu wa juhudi za kufikia amani duniani.
Habari ID: 3479699    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/04

IQNA - Kundi la kutetea haki za Waislamu Marekani limemkosoa Rais wa Marekani Joe Biden "kushiriki kikamilifu katikaa uhalifu wa (Israeli) dhidi ya ubinadamu".
Habari ID: 3479692    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/03

Wanawake na Qur'ani
IQNA - Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, anasema heshima na imani ya wanawake huko Gaza "inang'aa kama dhahabu safi" wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea mauaji ya kimbari na uharibifu katika eneo hilo lililozingirwa.
Habari ID: 3479673    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/30

Muqawama
IQNA - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza umefichua unafiki wao na nukata hiyo inaashiria kushindwa kukubwa kwao.
Habari ID: 3479638    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/23

IQNA-Muungano wa viongozi wa Waislamu wenye asili ya Afrika nchini Marekani wamewataka wapiga kura kumkataa Makamu wa Rais Kamala Harris katika azma yake ya kuwania urais wa Marekani 2024 kutokana na sera yake ya kuunga mkono mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala dhalimu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza.
Habari ID: 3479633    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/22

Muqawama
IQNA - Kufuatia kuuawa shahidi mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina,Hamas, Yahya Sinwar, harakati hiyo imewataka Waislamu kuswalia shahidi huyo na kuandaa maandamano ya kuupinga vikali dhidi ya utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3479616    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19

Rambirambi
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kufuatia kuuawa shahidi kamanda shujaa wa Mujahidina, Yahya Sinwar, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS, na kusisitiza kuwa: "Kama vile safu ya Muqawama (mapambano ya Kiislamu) haikuacha kusonga mbele kwa kuuawa shahidi shakhisia wake mashuhuri, vivyo hivyo haitakoma kwa kuuawa shahidi Sinwar."
Habari ID: 3479615    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19

Diplomasia
IQNA- Rais wa Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Iwapo nchi za Kiislamu zitaungana zenyewe, utawala wa Kizayuni wa Israel hatathubutu kufanya jinai kirahisi na Marekani na nchi za Magharibi pia hazitaunga mkono utawala huo."
Habari ID: 3479608    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/17

Jinai za Israel
IQNA - Shambulio la anga la utawala katili wa Israel kwenye kambi ya hema katikati mwa Gaza mapema wiki hii lilisababisha moto na kuua Wapalestina kadhaa.
Habari ID: 3479602    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/17