Diplomasia
IQNA – Shekhe mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amepongeza misimamo ya Estonia dhidi ya utawala wa Israel.
Habari ID: 3479719 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08
Watetezi wa Palestina
IQNA-Mechi kati ya Paris Saint-Germain na Atletico Madrid katika Ligi ya Soka ya Mabingwa wa Ulaya- UEFA- ilikuwa uwanja wa harakati za kuunga mkono Palestina Jumatano usiku.
Habari ID: 3479713 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/07
Siasa
IQNA - Mwenyekiti wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu la Iran ameilaani Marekani kwa kutoa uungaji mkono wa kila namna kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika hujuma zake za mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3479706 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05
Jinai za Israel
IQNA-Marja' wa ngazi ya juu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq ameeleza masikitiko yake kuhusu kushindwa jamii ya kimataifa na taasisi husika katika kuzuia jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina na Lebanon.
Habari ID: 3479703 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05
IQNA - Imamu mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesikitishwa na ukosefu wa juhudi za kufikia amani duniani.
Habari ID: 3479699 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/04
IQNA - Kundi la kutetea haki za Waislamu Marekani limemkosoa Rais wa Marekani Joe Biden "kushiriki kikamilifu katikaa uhalifu wa (Israeli) dhidi ya ubinadamu".
Habari ID: 3479692 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/03
Wanawake na Qur'ani
IQNA - Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, anasema heshima na imani ya wanawake huko Gaza "inang'aa kama dhahabu safi" wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea mauaji ya kimbari na uharibifu katika eneo hilo lililozingirwa.
Habari ID: 3479673 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/30
Muqawama
IQNA - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa vita vya mauaji ya kimbari vya Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza umefichua unafiki wao na nukata hiyo inaashiria kushindwa kukubwa kwao.
Habari ID: 3479638 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/23
IQNA-Muungano wa viongozi wa Waislamu wenye asili ya Afrika nchini Marekani wamewataka wapiga kura kumkataa Makamu wa Rais Kamala Harris katika azma yake ya kuwania urais wa Marekani 2024 kutokana na sera yake ya kuunga mkono mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala dhalimu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza.
Habari ID: 3479633 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/22
Muqawama
IQNA - Kufuatia kuuawa shahidi mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina,Hamas, Yahya Sinwar, harakati hiyo imewataka Waislamu kuswalia shahidi huyo na kuandaa maandamano ya kuupinga vikali dhidi ya utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3479616 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19
Rambirambi
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kufuatia kuuawa shahidi kamanda shujaa wa Mujahidina, Yahya Sinwar, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS, na kusisitiza kuwa: "Kama vile safu ya Muqawama (mapambano ya Kiislamu) haikuacha kusonga mbele kwa kuuawa shahidi shakhisia wake mashuhuri, vivyo hivyo haitakoma kwa kuuawa shahidi Sinwar."
Habari ID: 3479615 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19
Diplomasia
IQNA- Rais wa Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Iwapo nchi za Kiislamu zitaungana zenyewe, utawala wa Kizayuni wa Israel hatathubutu kufanya jinai kirahisi na Marekani na nchi za Magharibi pia hazitaunga mkono utawala huo."
Habari ID: 3479608 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/17
Jinai za Israel
IQNA - Shambulio la anga la utawala katili wa Israel kwenye kambi ya hema katikati mwa Gaza mapema wiki hii lilisababisha moto na kuua Wapalestina kadhaa.
Habari ID: 3479602 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/17
Jinai za Israel
IQNA - Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway amelaani "vita vya kikatili" vya utawala wa Israel huko Gaza na ukiukaji wake wa kanuni za vita.
Habari ID: 3479584 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13
Watetezi wa Palestina
IQNA - Wataalamu na wasomii walioshiriki katika mkutano wa kimataifa wa haki za binadamu mjini Tehran wameikosoa nchi za Magharibi kwa undumilakuwili na unafiki kuhusu suala la Palestina.
Habari ID: 3479571 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/10
Jinai za Israel
IQNA - Idadi ya Wapalestina waliouawa kwa mabomu na risasi za Israel katika Ukanda wa Gaza tokea Oktoba mwaka jana sasa imepindukia 42,000, wengi wakiwa ni wanawake na watoto.
Habari ID: 3479569 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/10
Jini za Israel
IQNA-Serikali ya Iraq imelaani vikali njama ya utawala haramu wa Israel ya kutaka kumuua kiongozi mkuu wa Kiislamu nchini humo Ayatullah Sayyid Ali Sistani.
Habari ID: 3479567 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/09
Watetezi wa Palestina
IQNA - Maonyesho ya vibonzo vinavyoonyesha vipengele tofauti vya jinai za utawala wa Israel yalizinduliwa katika mji mkuu wa Uturuki wa Ankara.
Habari ID: 3479566 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/09
Watetezi wa Palestina
IQNA - Katika kuadhimisha kumbukumbu ya Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa iliyotekelezwa dhidi ya Israel na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, mwaka jana, waandamanaji wanaounga mkono Palestina wamejitokeza kwa wingi katika mitaa ya Manhattan, New York, Jumatatu usiku.
Habari ID: 3479564 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/09
Muqawama
IQNA - Balozi wa Yemen nchini Iran amesema taifa la Yemen litaendelea kuwa na msimamo thabiti katika kuunga mkono harakati za muqawama au mapambano ya Kiislamu huko Palestina na Lebanon.
Habari ID: 3479560 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/08