IQNA-Omar al-Hadi, mchoraji wa maandishi kaligrafia wa Morocco mwenye umri wa miaka 60, ameushinda ulemavu wa mwili wa maisha yake kwa kuandika aya zote za Qur'ani Tukufu yote kwenye ngozi ya mbuzi.
Habari ID: 3480689 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/16
IQNA – Kituo cha Qur'ani cha Imamu Ali (AS) sasa kimefunguliwa rasmi katika eneo la kaskazini-mashariki mwa Bekaa nchini Lebanon, kikiwa taasisi ya kwanza ya aina yake katika eneo hili inayojitolea kwa elimu na uenezi wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3480684 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/14
IQNA – Mpango mpya umeanzishwa nchini Mauritania kwa lengo la kukuza maadili ya Qurani miongoni mwa kizazi kipya.
Habari ID: 3480680 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/13
IQNA – Katika mkoa wa El Oued nchini Algeria, Sheikh al-Bashir Atili, mwalimu mkongwe wa Qur'ani katika Msikiti wa Tijaniyah mjini Bayadha, anaendelea kuhamasisha vizazi vipya vya wanafunzi kupitia mbinu ya kitamaduni ya kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya diktei na kuandika kwa mkono.
Habari ID: 3480679 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/13
IQNA – Maqari mashuhuri wa Qur'ani kutoka Iran wanatarajiwa kuzuru Tanzania kushiriki katika kongamano kubwa la kimataifa la Qur'ani litakalofanyika jijini Dar es Salaam.
Habari ID: 3480676 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/12
IQNA – Kituo cha uelimishaji kwa lugha mbalimbali kimezinduliwa katika Msikiti Mkuu wa Makka, mji mtukufu.
Habari ID: 3480674 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/12
IQNA – Mshauri wa masuala ya Qur'ani katika Idara ya Mfawidhi wa Haram Tukufu ya Imam Hussein (A.S) amekutana na Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya Qur'ani ya al-Muzdahar nchini Senegal kujadili njia za kuendeleza ushirikiano.
Habari ID: 3480673 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/12
IQNA – Ayatullah Alireza Arafi, Mkurugenzi wa Vyuo vikuu vya Kiislamu (Hawza) nchini Iran, ametangaza mafanikio makubwa katika elimu ya Qur'ani na taaluma zake, akisisitiza kuanzishwa kwa fani mpya za kielimu, majarida maalumu, na tafsiri mbalimbali ndani ya mtandao wa hawza.
Habari ID: 3480672 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/12
IQNA – Wizara ya Elimu ya Iran inapanga kuanzisha shule rasmi 1,200 mpya za kuhifadhi Qur’ani ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa mujibu wa afisa mmoja mwandamizi.
Habari ID: 3480671 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/11
IQNA – Kituo cha Kitaifa cha Sayansi za Qur'ani, kilicho chini ya Idara ya Waqfu wa Kishia ya Iraq, kinapanga kuandaa kozi za Qur'ani za majira ya kiangazi kwa wanafunzi wa shule.
Habari ID: 3480668 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/11
IQNA – Qur'ani Tukufu daima hubeba ujumbe mpya kwa kila kipindi, amesema mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu Ayatullah Abdollah Javadi Amoli.
Habari ID: 3480653 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/08
IQNA-Maktaba na Makavazi ya Kitaifa ya Misri, inayojulikana kama Dar Al-Kutub, inahifadhi mkusanyiko wa kipekee wa hati za Qur’ani za kale na za kihistoria, baadhi yake zikiwa na zaidi ya miaka elfu moja.
Habari ID: 3480647 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/06
IQNA-Taasisi ya Dar-ol-Quran ya Idara ya Mfawidhi wa Haram tukufu ya Imam Hussein (AS) imetangaza kuanza kwa raundi ya pili katika hatua ya awali ya Tuzo ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani ya Karbala.
Habari ID: 3480644 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/06
IQNA – Taasisi za elimu za kitamaduni nchini Morocco zimekumbana na changamoto baada ya kuwasilishwa kwa kanuni mpya za kusaidia vituo binafsi vya Qur'ani.
Habari ID: 3480638 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/05
IQNA-Ramadhan Mushahara, Mpalestina mwenye umri wa miaka 49, amechapisha kitabu kiitwacho “Qur'ani kwa Wanaohifadhi”. Aliandika kitabu hiki akiwa gereza za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel, licha ya vizuizi vikubwa vya gerezani.
Habari ID: 3480636 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/04
IQNA- Warsha ya kielimu yenye kuhusu “Mbinu za Kufundisha Qur'ani kwa Watoto: Mitazamo ya Kihistoria na ya Kisasa” imefanyka huko Sharjah, Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3480635 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/04
IQNA – Nigeria inapanga kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu na kushirikisha maqari wa Qur’ani kutoka nchi 20.
Habari ID: 3480632 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/03
IQNA – Zaidi ya nakala 6,000 za Qur’ani Tukufu zimegawiwa kwa wageni katika Maonyesho ya 39 ya Vitabu ya Kimataifa ya Tunisia.
Habari ID: 3480631 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/03
IQNA – Katika sherehe iliyofanyika Tehran Alhamisi, Shule ya Kitaifa ya Weledi wa Qiraa ya Qur'ani ilizinduliwa.
Habari ID: 3480629 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/03
IQNA – Mtaalamu wa masuala ya kimataifa ameuelezea mpango wa kuanzishwa kwa bunge la Qurani la ulimwengu wa Kiislamu kama ramani ya njia kwa Ummah wa Kiislamu kuelekea umoja.
Habari ID: 3480624 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/02