IQNA – Jumba la Kitaifa la Makumbusho la Sanaa la Isfahan, lililozinduliwa mnamo Februari 2022, liko ndani ya jengo la kihistoria kutoka enzi ya mwisho ya utawala wa Qajar.
Habari ID: 3480720 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/21
IQNA – Mwanazuoni wa Kiislamu kutoka Iran amepinga madai kwamba Waislamu wa madhehebu ya Shia hawana uhusiano wa karibu na Qur'ani Tukufu huku akiyataja madai kama hayo kuwa ni uzushi wa muda mrefu unaoenezwa na maadui wa Uislamu.
Habari ID: 3480707 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/19
IQNA – Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa mshikamano wa kweli kati ya mataifa ya Kiislamu utayafanya kuwa na nguvu zaidi mbele ya maadui.
Habari ID: 3480702 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/18
IQNA – Mbunge wa zamani wa Iran ameielezea Hija kama ibada ya kiroho yenye malipo makubwa, lakini pia yenye manufaa mapana ya kisiasa na kijamii kwa Waislamu kote duniani.
Habari ID: 3480683 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/14
IQNA – Maqari mashuhuri wa Qur'ani kutoka Iran wanatarajiwa kuzuru Tanzania kushiriki katika kongamano kubwa la kimataifa la Qur'ani litakalofanyika jijini Dar es Salaam.
Habari ID: 3480676 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/12
IQNA – Wizara ya Elimu ya Iran inapanga kuanzisha shule rasmi 1,200 mpya za kuhifadhi Qur’ani ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa mujibu wa afisa mmoja mwandamizi.
Habari ID: 3480671 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/11
IQNA – Mkutano umefanyika Tehran Jumatatu ili kujadili mikakati ya kuendeleza vipengele vya kimataifa vya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3480648 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/06
IQNA-Iran imetangaza kaulimbiu rasmi ya matembezi adhimu ya ya Arbaeen mwaka 1447 (2025), ni Inna Ala Al-Ahd" (Tuko Katika Ahadi") ili kuonyesha uaminifu kwa maadili ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3480646 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/06
IQNA – Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Hija aameitaja safari ya Hija kama fursa ya dhahabu ya kujitambua na kupata uelewa wa kina zaidi wa Uislamu.
Habari ID: 3480639 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/05
IQNA – Katika sherehe iliyofanyika Tehran Alhamisi, Shule ya Kitaifa ya Weledi wa Qiraa ya Qur'ani ilizinduliwa.
Habari ID: 3480629 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/03
IQNA –Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanaoelekea katika ibada ya Hija nchini Saudi Arabia mwaka huu wanatarajia kuanza safari yao wiki ijayo, kulingana na
Habari ID: 3480612 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/29
IQNA – Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kuwepo harakati za jamii ya kimataifa ili kusitisha mauaji makubwa ya kimbari ya karne hii.
Habari ID: 3480607 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/28
Rais Masoud Pezeshkian
IQNA-Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesisitiza uwezo wa bara la Afrika na ulazima wa kuwepo ushirikiano na kwamba, IIran iko tayari kupanua ushirikiano wake na bara la Afrika katika nyanja zote.
Habari ID: 3480602 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/27
IQNA-Mkoa wa Kusini wa Hormozgan nchini Iran umetangaza siku tatu za maombolezo ya umma kufuatia mlipuko mbaya katika bandari ya Shahid Rajaee.
Habari ID: 3480599 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/27
IQNA-Wawakilishi wawili wa Iran katika mashindano ya 13 ya kimataifa ya Qur’an yaliyoendeshwa Libya walishiriki vikao vya mzunguko wa awali kupitia mtandao.
Habari ID: 3480595 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/26
IQNA – Maonyesho ya Kaligrafia ya Qur'ani na Mashairi ya Kiarabu, yaliyoandaliwa na Ubalozi Mdogo wa Iran mjini Jeddah, yamefunguliwa rasmi katika mji huo wa bandari wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3480576 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/21
IQNA – Mji mkuu wa Iran, Tehran, umepangwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa kuhusu ubinadamu na uhuru.
Habari ID: 3480570 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/20
IQNA – Rais wa Iran Massoud Pezeshkian amesema umoja wa Waislamu kuwa msingi wa amani na maendeleo katika eneo hilo.
Habari ID: 3480558 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/18
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Uhusiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia utakuwa na faida kwa pande mbili na unaweza kuzifanya pande mbili hizo zikamilishane.
Habari ID: 3480555 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/18
IQNA – Jumla ya raia 85,000 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran watashiriki katika ibada ya Hija mwaka huu ambapo miongoni mwao 1,100 wana umri wa zaidi ya miaka 80, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3480553 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/17