IQNA

Kuelekea Ushindi na Wilayah: Qari wa Pakistan Awasilisha Qiraa ya Qur’ani

20:20 - March 30, 2026
Habari ID: 3482106
IQNA – Qari mashuhuri kutoka Pakistan, Mohammad Davoud, amejiunga na kampeni ya Qur’ani iitwayo “Kuelekea Fath (Ushindi) wa Utawala wa Faqihi Mtawala.”

Ametuma usomaji au qiraa yake ya Aya ya 18 ya Sura Al‑Fath ili kuonyesha mshikamano na taifa la Iran. Hatua hii imekuja wakati ambapo taifa la Iran linaendelea kuonesha ustahimilivu mkubwa katika kukabiliana na kile kilichoelezwa kuwa ni uchokozi unaoendelea wa Marekani na Israel dhidi ya nchi hii ya Kiislamu.

Habari zinazohusiana
captcha