iqna

IQNA

iran
Mashindano ya Qur’ani Tukufu
Mwakilishi wa Iran katika kategoria ya kuhifadhi ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Uturuki ana matumaini ya kufuzu kwa fainali.
Habari ID: 3478989    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/20

Kadhia ya Palestina
IQNA - Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo yalipata ushindi mwaka 1979 yalikuwa ni utangulizi wa mwamko wa Wapalestina, amesema mwanazuoni wa Lebanon.
Habari ID: 3478955    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/09

IQNA - Shirika la Wakfu na Masuala Iran limeongeza muda wa mwisho wa kusajiliwa kwa Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu. Hamid Majidimehr, Mkuu wa Kituo cha Masuala ya Qur'ani cha shirika hilo, aliiambia IQNA siku ya Jumamosi kwamba makataa ya usajili yameongezwa kwa siku kumi hadi Juni 18.
Habari ID: 3478953    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/09

Diplomasia ya Qur'ani
IQNA - Sherehe za kufunga toleo la 10 la mashindano ya Qur'ani kati ya majeshi ya Iran na Oman zimefanyika huku washindi wakipokea tuzo zao.
Habari ID: 3478945    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/07

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya Qur'ani kati ya majeshi ya Iran na Oman yanaendelea katika mji mkuu wa Oman, Muscat.
Habari ID: 3478937    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/05

Hija 1445
IQNA - Zaidi ya nusu ya Wa iran i wanaotarajiwa kuhiji mwaka huu wamewasili Saudi Arabia, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478905    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/31

Diplomasia ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, muqawama ni utambulisho mzuri na bora wa Syria na akaeleza kwamba, nafasi maalumu iliyonayo Syria katika eneo ni kutokana na utambulisho huu na sifa hiyo muhimu inapaswa kuhifadhiwa.
Habari ID: 3478904    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/30

Hija 1435
IQNA - Balozi wa Iran nchini Saudi Arabia Ali Reza Enayati amefanya mazungumzo na Abdulaziz bin Saud bin Naif, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Hajj.
Habari ID: 3478896    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/28

Rambirambi
IQNA-Viongozi wa dunia wameendelea kutuma salamu za rambi rambi kufuatia kufa shahidi katika ajali ya helikopta jana Seyyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Amir Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje, Hujjatul Islam wal Muslimin Al Hashem, mwakilishi wa Waliul Faqih katika Mkoa wa Azabajan Mashariki, Malik Rahmati, Gavana wa Azabajani Mashariki na wote waliokuwa katika msafaraha huo.
Habari ID: 3478855    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/20

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Iran itatuma washiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia katika vitendo vya qiraa na hifdhi.
Habari ID: 3478833    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/16

Hija
IQNA - Kundi la kwanza la Wa iran i walioelekea Hija kutoka Iran waliwasili katika mji mtakatifu wa Madina Jumatatu Mei 13.
Habari ID: 3478816    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/13

Qari Mashuhuri wa Qur'ani Tukufu
IQNA – Qari mashuhuri wa Iran Karim Mansouri amepongeza amani ambayo Qur'ani Tukufu inaleta katika maisha ya wale wanaoongozwa nayo.
Habari ID: 3478794    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/09

Hija 2024
IQNA Afisa wa ngazi za juu wa Msafara wa Hija wa Iran amewataka Wa iran i wanaolekea katika ibada ya Hija mwaka huu kuzingatia zaidi Qur'ani Tukufu, masaibu yanayowakumba Waislamu wa Gaza na suala la umoja wa Waislamu wakiwa katika ibada ya Hija
Habari ID: 3478775    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/05

Harakati za Qur'ani
IQNA – Qari maarufu wa Iran na mwalimu wa Qur’ani Ustadh Ahmad Abolqassemi amehudhuria toleo la kwanza la maonyesho ya Qur’ani ya Kabul.
Habari ID: 3478769    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/04

Harakati za Qur'ani
IQNA - Maelfu ya wafungwa katika jela za Jamhuri ya Kiislamu Iran wamefaulu kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu au juzuu kadhaa wakiwa wanatumikia vifungo vyao gerezani, mkuu wa Shirika la Magereza la Iran alisema.
Habari ID: 3478738    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/26

Diplomasia
IQNA-Raisi Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna irada baina ya Iran na Afrika kuimarisha na kustawisha uhusiano wa kibiashara na kuongeza kuwa nchi za Afrika zinaweza kunufaika na teknolojia inayomilikiwa na Iran.
Habari ID: 3478736    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/26

Hija
IQNA - Zaidi ya Wa iran i 83,000 wataelekea Saudi Arabia kushiriki katika ibada ya Hija mwaka huu, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478723    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/23

Ahadi ya Kweli
IQNA - Mchambuzi wa Lebanon ameorodhesha nukta nane kuhusu mashambulizi ya kulipiza kisasi wa Iran dhidi ya utawala haramu wa Israel ambayo yalikuja baada ya mashambulizi ya Israel kwenye ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria.
Habari ID: 3478691    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/16

IQNA - Qari mashuhuri wa Iran Seyed Mohammad Hosseinipour hivi karibuni alisoma aya za Surah At-Taghabun katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478690    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/16

Ahadi ya Kweli
IQNA - Msururu wa vikao vha kusoma  Qur'ani Tukufu ambavyo vimepewa jina la "Ahadi ya Kweli" vinafanyika katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3478689    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/16