iqna

IQNA

IQNA – Mchujo wa awali wa usomaji kwa ajili ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi Waislamu umekamilika, ambapo kazi kutoka nchi 36 zimepitiwa.
Habari ID: 3481104    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/19

IQNA – Awamu ya awali ya kategoria ya usomaji katika Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamuyaliyoandaliwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza rasmi, huku washiriki kutoka mataifa 36 wakituma video za usomaji kwa ajili ya tathmini.
Habari ID: 3481101    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/18

IQNA – Msikiti maarufu wa Faisal ulioko katika mji mkuu wa Pakistan, Islamabad, uliandaa sherehe ya kuwaenzi wahifadhi wa Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3481100    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/18

IQNA – Muhammad Hussein al-Tayyan, mwandishi na mtaalamu wa lugha wa Syria, anaamini kwamba Qur’an ni kitovu cha lugha ya Kiarabu, na kupitia Qur’an ndiyo lugha hii iliyoenea na kukomaa.
Habari ID: 3481098    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/18

IQNA – Misri imetangaza mashindano makubwa zaidi ya taifa ya televisheni yenye lengo la kugundua vipaji vipya vya usomaji wa Qur’ani.
Habari ID: 3481097    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/17

IQNA – Jimbo la Sarawak, Malaysia limeanzisha mbinu rafiki kwa mazingira katika kuheshimu na kuondosha nakala zilizochakaa za Misahafu au Qur’an Tukufu.
Habari ID: 3481094    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/16

IQNA – Wizara ya Wakfu na Mambo ya Kiislamu ya Morocco imetangaza mpango mkubwa wa miaka mitatu wa kuwapa mafunzo mapya maimamu 48,000 wa misikiti kote nchini.
Habari ID: 3481088    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/15

IQNA – Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri amesisitiza umuhimu wa kuendeleza tovuti ya kimataifa ya Idhaa ya Qur’an Tukufu ya nchi hiyo.
Habari ID: 3481085    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/15

IQNA – Shughuli za kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) zimezinduliwa rasmi Jumatatu katika mji mkuu wa Yemen, Sana’a.
Habari ID: 3481080    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/13

IQNA – Qari kutoka Iran, Hamidreza Amadi-Vafa, amesema kuwa kusoma Qur’ani katika njia ya kutoka Najaf hadi Karbala wakati wa Arbaeen hujenga mazingira ya kiroho yasiyo na mfano katika nyakati nyingine za mwaka.
Habari ID: 3481073    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/12

IQNA – Roboti za kielektroniki zinazoweza kuingiliana na watumiaji zimetumika katika toleo la 45 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yanayofanyika Makkah kwa lengo la kuboresha huduma kwa wageni.
Habari ID: 3481072    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/11

IQNA – Jukwaa la kielimu la Qur’ani kwa ajili ya wasiozungumza Kiarabu linazinduliwa nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3481069    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/11

IQNA – Katika Ukanda wa Gaza uliokumbwa na vita, dada watatu wa Kipalestina wamekamilisha kuhifadhi Qur’ani Tukufu yote, licha ya kuvumilia mashambulizi ya kijeshi ya Kizayuni, uhamisho wa kulazimishwa, na njaa kali.
Habari ID: 3481067    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/11

IQNA – Wawakilishi wawili kutoka Malaysia wametwaa ubingwa katika Mashindano ya 65 ya Kimataifa ya Kusoma na kuhifadhi Qur’ani Tukufu ya Malaysia (MTHQA) ya 65, kila mmoja katika kipengele chake husika.
Habari ID: 3481061    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/10

IQNA – Waziri Mkuu wa Malaysia amesema kuwa serikali yake itatenga ufadhili wa ziada kwa Yayasan Restu ili kuwezesha tafsiri ya Qur’ani Tukufu katika lugha nyengine 30, na hivyo kupanua zaidi upeo wa ujumbe wake wa ulimwengu.
Habari ID: 3481060    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/09

IQNA – Mufti Mkuu wa Misri amesema kuwa akili mnemba (Artificial Intelligence – AI) haina mamlaka ya kutoa maamuzi ya Kiislamu au fatwa.
Habari ID: 3481058    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/09

IQNA – Mashindano ya 65 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Malaysia (MTHQA), yameimarika kwa mtazamo wa viwango ambapo majaji wamepongeza mahadhi na uhifadhi ulio bora zaidi.
Habari ID: 3481056    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/09

IQNA – Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai imetangaza matokeo ya mchujo wa awali, ambapo washiriki 525 wamechaguliwa kuendelea katika toleo la 28 la mashindano hayo.
Habari ID: 3481055    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/09

IQNA – Katika ufunguzi wa Kongamano la Dunia la Qur’ani 2025 jijini Kuala Lumpur, Malaysia, wito umetolewa wa kuifanya Qur’ani kuwa mwongozo wa kina katika utungaji sera, elimu, na mikakati ya kiuchumi na isiwe ni ya usomaji na kuhifadhi pekee.
Habari ID: 3481052    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/09

IQNA – Mashindano ya tatu ya kila mwaka ya kuhifadhi Qur’ani yanayoandaliwa na Msikiti Mkuu wa Al-Azhar nchini Misri yatafanyika kwa ushirikiano na benki ya Kiislamu.
Habari ID: 3481046    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/06