iqna

IQNA

Hija katika Qur'ani /1
IQNA – Qur'ani Tukufu inaitazama Hija kama haki ya Mwenyezi Mungu juu ya wanadamu, na ni wajibu kwa wale wote walio na uwezo wa kufika katika Nyumba ya Mwenyezi Mungu katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3480719    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/21

IQNA – Mwanaume mmoja ameshtakiwa rasmi nchini Kosovo kwa kitendo cha kuvunjia heshima Qur’ani Tukufu miezi michache iliyopita.
Habari ID: 3480718    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/21

IQNA – Msemaji wa Wizara ya Wakfu ya Misri ametangaza uzinduzi wa mpango wa majira ya kiangazi kwa watoto katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3480715    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/21

IQNA – Kundi la watu waliokamilisha kuhifadhi Qur'anI Tukufu kikamilifu wameenziwa katika sherehe iliyofanyika katika mji mkuu wa Mauritania, Nouakchott.
Habari ID: 3480713    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/20

IQNA – Semina kuhusu uumbaji wa milima kwa mtazamo wa Qur’ani ilifanyika katika Msikiti Mkuu wa Al-Azhar huko Cairo, Misri.  
Habari ID: 3480712    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/20

IQNA – Uongozi wa Al Masjid an Nabawi (Msikiti wa Mtume) huko Madina umetangaza utekelezaji wa mpango wa kielimu wa kufundisha Qara’at Ashar (mitindo kumi ya usomaji wa Qur'ani) ndani ya msikiti huo.
Habari ID: 3480706    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/19

IQNA – Omid Reza Rahimi ni qari mwenye ulemavu wa macho ambaye amehifadhi Qur'ani ambaye ni mwanachama wa Msafara wa Qur'ani wa Nur (Noor) kutoka Iran, ambao ni ujumbe wa wasomaji Qur'ani katika ibada ya Hija.
Habari ID: 3480699    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/18

IQNA – Ibada ya Hija, inayofanywa kila mwaka, inatajwa katika Qur’an kama bendera ya Uislamu, kulingana na maelezo ya mwanazuoni wa Kiislamu kutoka Iran.
Habari ID: 3480698    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/17

IQNA– Wanaume wawili wamepatikana na atia ya kuvunjia heshima nakala ya Qur'ani Tukufu na kila mmoja kutozwa faini ya kroner za Denmark 10,000 (sawa na dola 1,500) huko Denmark.
Habari ID: 3480696    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/17

IQNA – Mkuu wa Shirika la Iran la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu amepongeza juhudi za utafiti wa Quran zinazofanywa na Taasisi ya Ibn Sina nchini Russia.
Habari ID: 3480693    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/16

IQNA-Omar al-Hadi, mchoraji wa maandishi kaligrafia wa Morocco mwenye umri wa miaka 60, ameushinda ulemavu wa mwili wa maisha yake kwa kuandika aya zote za Qur'ani Tukufu yote kwenye ngozi ya mbuzi.
Habari ID: 3480689    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/16

IQNA – Kituo cha Qur'ani cha Imamu Ali (AS) sasa kimefunguliwa rasmi katika eneo la kaskazini-mashariki mwa Bekaa nchini Lebanon, kikiwa taasisi ya kwanza ya aina yake katika eneo hili inayojitolea kwa elimu na uenezi wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3480684    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/14

IQNA – Mpango mpya umeanzishwa nchini Mauritania kwa lengo la kukuza maadili ya Qurani miongoni mwa kizazi kipya.
Habari ID: 3480680    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/13

IQNA – Katika mkoa wa El Oued nchini Algeria, Sheikh al-Bashir Atili, mwalimu mkongwe wa Qur'ani katika Msikiti wa Tijaniyah mjini Bayadha, anaendelea kuhamasisha vizazi vipya vya wanafunzi kupitia mbinu ya kitamaduni ya kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya diktei na kuandika kwa mkono.
Habari ID: 3480679    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/13

IQNA – Maqari mashuhuri wa Qur'ani kutoka Iran wanatarajiwa kuzuru Tanzania kushiriki katika kongamano kubwa la kimataifa la Qur'ani litakalofanyika jijini Dar es Salaam.
Habari ID: 3480676    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/12

IQNA – Kituo cha uelimishaji kwa lugha mbalimbali kimezinduliwa katika Msikiti Mkuu wa Makka, mji mtukufu.
Habari ID: 3480674    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/12

IQNA – Mshauri wa masuala ya Qur'ani katika Idara ya Mfawidhi wa Haram Tukufu ya Imam Hussein (A.S) amekutana na Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya Qur'ani ya al-Muzdahar nchini Senegal kujadili njia za kuendeleza ushirikiano.
Habari ID: 3480673    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/12

IQNA – Ayatullah Alireza Arafi, Mkurugenzi wa Vyuo vikuu vya Kiislamu (Hawza) nchini Iran, ametangaza mafanikio makubwa katika elimu ya Qur'ani na taaluma zake, akisisitiza kuanzishwa kwa fani mpya za kielimu, majarida maalumu, na tafsiri mbalimbali ndani ya mtandao wa hawza.
Habari ID: 3480672    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/12

IQNA – Wizara ya Elimu ya Iran inapanga kuanzisha shule rasmi 1,200 mpya za kuhifadhi Qur’ani ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa mujibu wa afisa mmoja mwandamizi.
Habari ID: 3480671    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/11

IQNA – Kituo cha Kitaifa cha Sayansi za Qur'ani, kilicho chini ya Idara ya Waqfu wa Kishia ya Iraq, kinapanga kuandaa kozi za Qur'ani za majira ya kiangazi kwa wanafunzi wa shule.
Habari ID: 3480668    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/11