Katibu Mkuu wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amesema kuwa Saudi Arabia na Imarati ni vinara wa kambi ya unafiki.
Habari ID: 3473121 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na utawala wa Kizayuni wa Israel zimeafikiana kushirikiana kuanzisha vituo vya ujasusi katika eneo la kistratejia la Socotra huko Yemen.
Habari ID: 3473111 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/28
Waziri Mkuu wa Yemen
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Serikali ya Uwokozi wa Kitaifa ya Yemen amekosoa hatua ya Umoja wa Mataifa ya kuiondoa Saudi Arabia katika orodha ya wauaji wa watoto.
Habari ID: 3473060 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/12
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema, kujiweka mbali Waislamu na Uwalii wa Umma ndio sababu kuu ya matatizo uliyonayo Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3473048 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/09
TEHRAN (IQNA) - Baraza la Maulamaa wa Yemen limeyatolea mwito mataifa ya Kiislamu wa kuyataka yatekeleze jukumu lao la kuuhami msikiti wa al-Aqsa na Haram Mbili tukufu za Makka na Madina katika kukabiliana na chokochoko za Wazayuni na utawala wa Aal Saud.
Habari ID: 3472971 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/17
TEHRAN (IQNA) – Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema Wa yemen wasiopungua milioni 10 wa Yemen wanaandamwa na ubaha mkubwa wa chakula na hivyo wanahitaji misaada ya dharura ili kuzuia baa la njaa.
Habari ID: 3472950 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/11
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
TEHRAN (IQNA) -Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, kusema urongo na kueneza chuki ni viungo muhimu katika sera za kigeni za Marekani.
Habari ID: 3472946 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/10
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa Maulamaa wa Kiislamu (IUMS) ametahadharisha kuhusu njama hatari inayopangwa dhidi ya Yemen na ametaka nchi hiyo inusuriwe.
Habari ID: 3472911 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/29
TEHRAN (IQNA) - Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limetangaza kuwa, idadi ya watoto wanaosumbuliwa na utapiamlo imeongezeka kwa kiwango kikubwa nchini Yemen.
Habari ID: 3472899 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/26
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Majeshi ya Yemen amesema majeshi ya nchi hiyo yametekeleza oparesheni maalumu ndani kabisa ya ardhi ya Saudi Arabia.
Habari ID: 3472891 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/23
TEHRAN (IQNA)- Mashirika ya kutetea haki za binadamu yamemjia juu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres kwa kuuondoa muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika orodha ya makundi yanayokanyaga haki za watoto.
Habari ID: 3472870 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/16
TEHRAN (IQNA) –Wa yemen wamelaani muungaji wa kivita unaaongozwa na Saudia kwa kutumia mabomu vya vishada dhidi ya eneo la makazi ya raia katika mji mkuu, Sana’a na kupelekea familia moja kujeruhiwa vibaya.
Habari ID: 3472857 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/11
TEHRAN (IQNA) –Nchini Yemen kumeripotiwa kesi kadhaa za ugonjwa wa COVID-19 au corona Jumatano huku Umoja wa Mataifa ukibainisha wasiwasi wake kuwa ugonjwa huo yamkini unaenea katika nchi hiyo bila kujulikana huku mamilioni wakikabiliwa na njaa na ukosefu wa huduma za afya.
Habari ID: 3472718 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/30
TEHRAN (IQNA) -Sayyed Abbas Mousawi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa njia pekee ya kurejesha uthabiti na utulivu Yemen ni umoja na mshikamano miongoni mwa makundi mbali mbali nchini humo.
Habari ID: 3472717 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/30
TEHRAN (IQNA) – Watu milioni 74 wanaoishi katika nchi za Kiarabu zenye uhaba wa maji wanakabliwa na hatari kubwa ya kuambukizwa ugonjwa wa COVID-19 au corona kutokana na kuwa hawana maji na sabuni ya kunawa nyumbani.
Habari ID: 3472667 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/15
TEHRAN (IQNA)- Muungano vamizi unaoongozwa na Saudia hadi sasa umeharibu kwa makusudi mamia ya misikiti na maeneo ya kihistoria katika vita vya Yemen.
Habari ID: 3472666 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/14
TEHRAN (IQNA) - Saudi Arabia imetangaza kuanza usitishaji vita wa wiki mbili huko Yemen hata hivyo nchi hiyo ilikiuka usitishaji vita huo katika masaa ya awali tu ya kuanza kutekelezwa.
Habari ID: 3472650 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/10
TEHRAN (IQNA) - Muungano vamizi wa Saudi Arabia na Imarati umeshambulia maeneo mbali mbali ya Yemen zaidi ya mara 300 katika kipindi cha siku saba zilizopita.
Habari ID: 3472645 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/08
TEHRAN (IQNA) -Watu wote wa familia moja nchini Yemen wameauwa katika hujuma ya roketi iliyotekeleza na wapiganaji wa muungano wa kivita unaoongozwa na Saudi Arabia.
Habari ID: 3472636 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/05
TEHRAN (IQNA) - Majeshi ya Yemen yametekeleza oparesheni ya kihistoria na kubwa zaidi ya ulipizaji kisasi ndani ya ardhi ya Saudi Arabia kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora kulenga maeneo muhimu kistratijia katika ufalme huo.
Habari ID: 3472616 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/30