TEHRAN (IQNA) - Majeshi ya Yemen yakishirikiana na kamati za Harakati ya Wananchi ya Answarullah yamefanikiwa kudhibiti eneo la Kufal, ambapo kuna kambi kubwa zaidi ya kijeshi ya muungano vamizi wa Saudi Arabia katika mkoa wa Ma'rib, katikati mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3472577 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/18
TEHRAN (IQNA) - vikosi vya jeshi la Yemen vimefanya mashamblizi mengine ya kulipiza kisasi kwa kutumia makombora dhidi ya taasisi za shirika kubwa zaidi la mafuta la Saudi Arabia la Aramco katika mkoa wa Madina, magharibi mwa Saudia.
Habari ID: 3472495 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/22
TEHRAN (IQNA) - Huku vita dhidi ya Yemen vikikaribia kutimiza mwaka wake wa tano, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati) ambayo inaunda muungano wa kivita unaoongozwa na Saudi Arabia imo mbioni kuondoa majeshi yake yote katika nchi hiyo.
Habari ID: 3472486 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/19
Wananchi wa Yemen wamefanya maandamano makubwa ya kulaani njama mpya za Marekani dhidi ya taifa madhlumu la Palestina na wamelaani vikali mpango wa Donald Trump wa "Muamala wa Karne."
Habari ID: 3472424 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/31
TEHRAN (IQNA) – Jeshi la Yemen lime imetangza kuwa limeshambulia taasisi za shirika kubwa zaidi la mafuta la kusafisha mafuta Saudi Arabia la Aramco katika eneo la Jizan karibu na Bahari ya Sham.
Habari ID: 3472419 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/30
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Ulaya na Marekani hazina azma ya kurejesha amani huko Yemen bali pande hizo zinafuatilia kuuza silaha zao.
Habari ID: 3472254 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/03
TEHRAN (IQNA) – Makumi ya maelfu ya watu wa Yemen wameshiriki katika sherehe za Maulid ya Mtume Muhammad SAW katika miji mbali mbali ya nchi hiyo ambayo ingali inakabiliwa na hujuma kijeshi ya utawala dhalimu wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3472208 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/10
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ametahadharisha hujuma ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa, amani haiwezi kurejeshwa nchini humo kupitia nguvu za kijeshi.
Habari ID: 3472193 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/29
Kiongozi Muadhamu katika Mkutano na Waziri Mkuu wa Pakistan
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwa muda sasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewasilisha mpango wa nukta nne wa kumaliza vita nchini Yemen na kuongeza kuwa: "Iwapo vita hivyo vitamalizika ipasavyo, basi jambo hilo linaweza kuwa na taathira chanya katika eneo.
Habari ID: 3472169 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/13
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa msimamo wa baadhi ya nchi na asasi kuhusu shambulizi la ulipizaji kisasi la Jeshi la Yemen dhidi ya vituo vya kusafisha amfut aya petroli nchini Saudi Arabia na kusema, misimamo hiyo inaonyesha kuwa mafuta ya petroli yana thamani zaidi ya damu ya mwanadamu.
Habari ID: 3472141 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/21
TEHRAN (IQNA) – Rais Vladimir Putin wa Russia amenukulu aya kadhaa za Qur'ani Tukufu katika kutoa wito wa kumalizika vita dhidi ya Yemen ambavyo vilianzishwa miaka mitano iliyopita na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia.
Habari ID: 3472133 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/17
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, Saudi Arabia na Imarati zinataka kuigawanya Yemen; na akasisitiza kwamba: Inalazimu kusimama na kukabiliana kwa nguvu zote na njama hiyo na kuunga mkono Yemen moja, iliyoungana na yenye ardhi yake yote kamili.
Habari ID: 3472083 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/14
TEHRAN (IQNA) - Watawala wa Saudi Arabia wamekasirishwa na kitendo cha Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) cha kuwaondosha nchini Yemen idadi kubwa ya wanajeshi wake.
Habari ID: 3472040 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/12
TEHRAN (IQNA) – Marekani inaendelea kuficha jinai za kivita za utawala wa Saudia Arabia na waitifaki wake ambao wanaendelea na uvamizi wao dhidi ya taifa la Yemen.
Habari ID: 3472007 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/19
TEHRAN (IQNA) - Vikosi vya Yemen vimetekeleza shambulizi jingine la ulipizaji kisasi kwa kuulenga uwanja wa ndege wa Abha, katika mkoa wa Asir kusini mwa Saudi Arabia. Shambulizi hilo limetekelezwa ikiwa ni katika kulipiza kisasi jinai dhidi ya Wa yemen ambazo zimekuwa zikitekelezwa na Saudia na waitifaki wake katika kipindi cha miaka minne sasa.
Habari ID: 3472005 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/17
TEHRAN (IQNA) – Muungano wa kivita unaoonogzwa na Saudi Arabia umebomoa zaidi ya misikiti 1,024 tangu uanzishe vita dhidi ya Yemen mwaka 2015, amesema afisa wa ngazi za juu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen.
Habari ID: 3471964 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/19
TEHRAN (IQNA)-Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema makumi ya maelefu ya watoto Wa yemen wamekufa njaa tokea Saudia na waitifaki wake waanzishe vita angamizi dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu.
Habari ID: 3471855 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/27
TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Bunge la Uingereza ambayo ilikuwa na jukumu la kuchunguza mauzo ya silaha za nchi hiyo mwaka 2017 imelaaniwa vikali kwa kupuuza uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia nchi ambayo inawaua raia kiholela katika vita vya Yemen.
Habari ID: 3471838 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/12
TEHRAN (IQNA)- Morocco imejiondoa katika muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen.
Habari ID: 3471836 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/10
TEHRAN (IQNA)- Watoto zaidi ya 84,700 wa Yemen wamepoteza maisha kutokana na makali ya njaa na utapiamlo, tangu Saudi Arabia ianzishe vita dhidi ya nchi hiyo maskini jirani yake zaidi ya miaka mitatu iliyopita.
Habari ID: 3471748 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/22